Kwanini wanawake wa siku hizi wanapenda mwanaume ambaye ‘ana stress za maisha’ kuliko yule mwenye amani?”

Kwanini wanawake wa siku hizi wanapenda mwanaume ambaye ‘ana stress za maisha’ kuliko yule mwenye amani?”

Mfano wewe hapo, sweetheart, nikikaa kimya kwa mambo yako...

Unaanza aisee siku hizi naona hunifokei kabisa, sawa tu... Hahaha
Hekaheka zako ndo tamu zinafanya medula ichangamke na kujuongezea ma suria😁😁😁😁😁😂😂!
 
Hekaheka zako ndo tamu zinafanya medula ichangamke na kujuongezea ma suria😁😁😁😁😁😂😂!
Nimejikalia zangu kimya sitaki heka heka na wewe...
Mara nashagaa wewe smart in maana hunioni kama nimevaa nguo fupi na hunikatazi, Ina maana unanina mimi ma.laya au... Hahahaha 😂 🤣

Sii umevaa mwenyewe sasa... Yani wewe asiee...
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤭

Nimevaa ili kucatch attention Yako wee unanipotezea jamanii
 
Mwanamme mwenye stress za maisha anadumu sana kitandani kwenye lile jambo letu tukufu la kubatizana kwa sababu anajitahidi ili asahau matatizo yake. Mwanamme mwenye amani ana hofu ya kufanya lile jambo kwani anahofia kuwa anamuumiza mwanamke vile anavyopiga kelele za utamu kuita malaika wake waje wamshike mapaja.
Umenena mtukufu
 
Stress Inampata mtu mwenye umakini na anachofanya au alichopoteza,
Wanawake wanapenda watu makini maana wanajua watafaidika na matunda ya umakini wake ilhali wakimuachia kero zake ambazo ndizo huleta stress.
Ikumbukwe mwanaume mwenye stress hufa mapema sana, hivyo wa naamini akiwa na mtu mwenye stress, mosi watafaidika na juhudi zako ukiwa hai na pili watakuwa warithi wa Mali pindi mwanaume upo kaburini,
Mwanaume mwenye stress pia hawezi perform vizuri kitandani!! Hii inawapa advantage ya kuwa na madanga nje maana mume ndani ni mzee wa dk 1 kimoko chali!
 
Friji la mtumba utaku KE umekuja na mbwinu ya kutaka kuuaminisha umma kuwa mnapenda ku hustle na mwanaume kitu ambacho sio kweli. Acha janjajanja, wanawake ni walewale utuzuge
 
Inaonekana mwanaume mwenye presha ya maisha, anahangaika na kodi, anafuatwa na madeni, na bado anampenda mpenzi wake kwa moyo wote, ndiye anayependwa zaidi kuliko yule aliyestabilize, hana stress, anakwambia “relax tu, maisha ni mafupi.”

Ni kwamba wanawake wanapenda action movie kuliko documentary au kuna kitu cha kiroho hapa?

Wapo wanaume wanasema, “nilipopata pesa aliniacha,” na wengine wanasema, “alinipenda nikiwa na shida, nikapona akaniacha.” Hii nayo tuitafsiri vipi
Hapana siyo kwa mimi, mwanamke wa hivyo atakuwa na matatizo kaakweli
 
Inaonekana mwanaume mwenye presha ya maisha, anahangaika na kodi, anafuatwa na madeni, na bado anampenda mpenzi wake kwa moyo wote, ndiye anayependwa zaidi kuliko yule aliyestabilize, hana stress, anakwambia “relax tu, maisha ni mafupi.”

Ni kwamba wanawake wanapenda action movie kuliko documentary au kuna kitu cha kiroho hapa?

Wapo wanaume wanasema, “nilipopata pesa aliniacha,” na wengine wanasema, “alinipenda nikiwa na shida, nikapona akaniacha.” Hii nayo tuitafsiri vipi
Wanaogopa kumwondolea amani, wanapenda mwenye stress ili wamwongezee😎
 
Back
Top Bottom