Kwanini wanawake wanaamini kuwa mwanaume mwenye gari ndio sahihi?

Kwanini wanawake wanaamini kuwa mwanaume mwenye gari ndio sahihi?

Gari hununuliwa kwa hela za mkupuo yaani wakisema gari ni milioni 20 basi ni uwe nazo mkononi. So ukiwa na gari ya milioni 20 jua tu wewe upo vema kifedha hata kama hauna itaonekana hivyo.

Mfano gari unalipia Bima kwa mwaka 1.5 Milioni, mafuta minimum kwa siku ni 50,000/= , kuna service ya engine oil pamoja na filters, kuna parking fee, kuna kubalance upepo wa tairi, kuna ya kubrashia viatu ya traffic officers minimum 5000, kuna ya kutoa omba omba njiani.

Hizi ni operating costs tu za wakati ukitumia gari. Ila pia kuna gharama huja na status ya kuwa na gari. Utaombwa hela sana kila utakapokuwa sababu watu watahusisha muonekano wako na mafanikio.

So wanawake wanapokuona na gari huwa wanaona mtu anaejiweza lakini pia kwao ni comfortability. Hebu ona hili joto la Dar lilivyo kali. Halafu hawa mabinti wa sasa wanavyopenda kupakaa zile pembejeo zao za urembo usoni ambazo hazitaki joto hata kidogo. Imagine umtembeze kwa daladala au bodaboda halafu sikilizia balaa lake jasho likianza kushuka, anajifutaje kwa mfano?![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Halafu pigia kinyume chake atoke ndani amepakaa hizo pembejeo,halafu umpokee kwenye gari yenye kiyoyozi safi muda wote, hatotamani kushuka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hawa mbweha wanapenda raha na umalkia ila kuutumikia ni viburi. Wacha waisome namba.

Maslay queen kama nawaona namna mnavyoogopa kutembea juani kama ma'Vampire vile [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mnaogopa kuharibu foundations na make ups.... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Dah uanaume raha bana ndo maana mademu kutwa kuchwa wanauchukia uanamke wanataka uanaume. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
 
Kwahiyo hata kujenga nyumba hadi uwe motivated na mpenzi wako?
Nikuwapa wanawake Maksi ambazo haziwahusu bila sababu. Ndio maana siku hizi vijana bila ndoa wanajiona hopeless katika maisha.

Hii mentality ni mbovu sana na inawadhoofu sana vijana wa kiume miaka hii.
 
tumejifunza kutokana na makosa, mwanaume utamvumilia wakati yuko majalala akibutua tu anakuona sio hadhi yake
Hiyo ni assumption tu na katika uhalisia mambo hayapo hivyo unavyosema. Ni kama kinyume chake tuseme wanawake wanaojenga maisha na wanaume zao wakishafanikiwa wanawaua ili wao warithi mali, je hiyo imekaaje kwako?!

So acha upuuzi. Usiishi kwenye akili yako ishi kwenye uhalisia.

Hapo ukisema unatafuta mwanaume mwenye navyo tayari jiandae kuweka utu wako rehani. Utavuliwa chupi na kupigwa mashine na wanaume hadi ukome.

Siku ukijakupata unachokitafuta aibu yake ni unapopita mitaani kila mwanaume alishakuchovya dudu lake kwenye utupu wako.

Sasa kama unaona hayo ndo maisha basi kazana sana dada. Endelea kugawa kama biskuti, fainali ni uzeeni. Na wanawake uzee mnauanza kabla hata ya miaka 40.
 
It doesn't necessarily mean hivyo, mwanaume hawezi kumtoa thamani mwanamke kabla mwanamke mwenyewe hajajitoa. Tatizo you are not maintaining your status as previously been doing, ukipata unaona umepaaaaaata basi unajisahau kabisa. Don't let your partner be the only one to start the pillow talk, u should also take the lead. Acha kabisa dharau na kutojali Coz hakunaga kitu kidogo kwenye mahusiano. Maintain heshima Kama uliyoionesha awali, jali usafi wake, uzima wake, take control kuhakikisha hapati stress from inside or outside. Hakikisha unamuandalia vyakula anavyovipenda. Jali usafi wa mwili wako.
Wengi wa hawa mabinti hawana basic knowledge ya mahusiano wao wanahisi mahusiano ni uwanja wa mapambano na visirani hakuna wanachokijua kizuri nje ya hapo.

Kuongea na kumuelimisha mtu aliyechagua njia ya upotofu ni kazi kubwa sana na ya kupoteza muda. Namna rahisi ya yeye kijifunza ni kumuacha aende na hiyo ruti akakutane na matarajio yake.

Upuuzi mwingi sana siku hizi kwenye mahusiano na muda hakuna.
 
Shida tukianza na nyie wenye mikokoteni siku mkipata hayo magari mnapata na mwanamke mwingine ambae hajachumia juani na wewe.
Kizuri kula na wenzako. Nyie mbona tunawagharamikia na bado mnakwenda kukunjwa nje kama mpo single. So wembe ni ule ule wa kushare.

Loyalty is too expensive now days and whores dont have enough morality cash to buy it. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwanaume anaemiliki gari anaonekana jasiri asieogopa kutumia na kutafuta fedha....ukikutana na kidume kinachotengeneza faida 100 m + kwa mwaka na bado kinadandia DCM mwanamke anakiogopa kwamba hiki kitamletea dhiki. Duniani tunapita nunua gari upunguze kero na uwapate hao wapenda magari. Gari raha wewe sikia tu. Iam a man nikiona nginja ina mpunga lakini bado inakomaa na daladala huwa naiona kama nginja isiyojiamini...unakusanya hela unataka kujenga dunia ingine!? Tumia helaaa weweee
nimesikitika sana. wavulana wasiokuwa na majukumu wanaona kama wengine hawana mipango vile.
 
Wanawake,mwanamke ni kiumbe dhaifu,siwatukani au kuwasema ila ndivyo ilivyo,rahis kushawishika na kubadili maamuzi,wanawake wanapenda vitu vizuri,wanapenda luxury, sio kama sisi wanaume hatupendi,tunapenda ila kwa kutafuta wenyewe tofauti na wao kwa kutoka kwa wengine,mayokeo yake wengi wamepata madhala kwenye hili,
Muda mwingine sio kama wanapenda wao,bali wanapenda kuonekana wana date na watu wenye vitu hivyo,kifupi kwao ni sifa,
 
Mbona mimi wanankataaga japokuwa namiliki RANGE ROVER
8468ac1f0bdad0c8db61bfb25f8dfc2e.jpg
Hii siyo chicken-coop kweli mkuu?Anyway,coockle o' doodle doo!
 
Back
Top Bottom