Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Shalom mpendwaWatu wenyewe ndiyo nyie mna kazi ya kurukaruka kama popcorn, wacha mtulizwe tu mmezidi bhaana khaah'..!!
anyways, siungi mkono hoja maana kifaa yangu me naituliza kwa damu ya Yesu..!!
Kutokujiamini...Hata kama mwananmke awe mzuri namna gani lazima ataenda kwa Sangoma ili ajihakikishie penzi lake.
Tofauti na wanaume ambao wakipata mwanamke kutumia limbwata huwa ni nadra sana. Sasa tatizi ni nini hasa mpaka wanatumia mizizi?
Kwa nini hawajiaminin kabisa?
Farasi ww😆Mbuzi yake kamba....😁
Limbwata kwa wanawake ni kama vumbi la kongo kwa wanaumeHata kama mwananmke awe mzuri namna gani lazima ataenda kwa Sangoma ili ajihakikishie penzi lake.
Tofauti na wanaume ambao wakipata mwanamke kutumia limbwata huwa ni nadra sana. Sasa tatizi ni nini hasa mpaka wanatumia mizizi?
Kwa nini hawajiaminin kabisa?
Huungi mkono hoja ila unaona ni sawa wanawake wenzako kuwatuliza waume zao.Watu wenyewe ndiyo nyie mna kazi ya kurukaruka kama popcorn, wacha mtulizwe tu mmezidi bhaana khaah'..!!
anyways, siungi mkono hoja maana kifaa yangu me naituliza kwa damu ya Yesu..!!
Poyeeee sweetheart,Huungi mkono hoja ila unaona ni sawa wanawake wenzako kuwatuliza waume zao.
Hata wewe ni mmoja wao kama siyo leo kesho.
Hii ilikuwa zamani kabla hata wewe hujazaliwa, siku hizi wanaume wa kibongo fleva ndiyo wanao ongoza kuwaroga kina Mama wenye maisha yao. Utakuta kijana hana hili wala lile anazungusha ndinga mjini kuhonga wasichana kumbe gari si lake ni la mamsap wake. Wanaroga ili kurithi mali wakahonge wanawake wengine.Hata kama mwananmke awe mzuri namna gani lazima ataenda kwa Sangoma ili ajihakikishie penzi lake.
Tofauti na wanaume ambao wakipata mwanamke kutumia limbwata huwa ni nadra sana. Sasa tatizi ni nini hasa mpaka wanatumia mizizi?
Kwa nini hawajiaminin kabisa?
Safi mkuu, karibu sanaNimeamka salama kabisaaa kama ilivyo Ada yangu, kuamka nikiwa na furahaa kila asubuhi.
Nahii nisababu huwa najua nikiingia JF nitaona Maandiko yako, na yataifanya siku yangu iende vemaaa