Kwanini wanawake wanaamini sana Limbwata kumtuliza mpenzi?

Kwanini wanawake wanaamini sana Limbwata kumtuliza mpenzi?

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
Hata kama mwananmke awe mzuri namna gani lazima ataenda kwa Sangoma ili ajihakikishie penzi lake.

Tofauti na wanaume ambao wakipata mwanamke kutumia limbwata huwa ni nadra sana. Sasa tatizi ni nini hasa mpaka wanatumia mizizi?

Kwa nini hawajiamini kabisa?
 
Hata kama mwananmke awe mzuri namna gani lazima ataenda kwa Sangoma ili ajihakikishie penzi lake.

Tofauti na wanaume ambao wakipata mwanamke kutumia limbwata huwa ni nadra sana. Sasa tatizi ni nini hasa mpaka wanatumia mizizi?

Kwa nini hawajiaminin kabisa?
Kutokujiamini...
Hili ni tatizo kubwa mno
 
Umaskini.

Kwa mwanamke anayeweza kujisimamia mwenyewe kiuchumi hawezi kufikiria kumtuliza Mwanaume kwa uchawi na ushirikina.

Anaishi naye kwa penzi la asili akiona wanashindwana atakuwa tayari kuachana na maisha ya mwanamke yataendelea vizuri.

Tatizo wale wanawake jobless au hata kama akiwa na kazi lakini kipato hakitoshelezi mahitaji yake na ndugu zake kundi hilo ambapo wako wengi ndio wa hivyo.

Sasa anajua Mwanaume akimuacha hatakuwa na pa kushika pa kumpa riziki afanyeje?
 
Hata kama mwananmke awe mzuri namna gani lazima ataenda kwa Sangoma ili ajihakikishie penzi lake.

Tofauti na wanaume ambao wakipata mwanamke kutumia limbwata huwa ni nadra sana. Sasa tatizi ni nini hasa mpaka wanatumia mizizi?

Kwa nini hawajiaminin kabisa?
Limbwata kwa wanawake ni kama vumbi la kongo kwa wanaume
 
Watu wenyewe ndiyo nyie mna kazi ya kurukaruka kama popcorn, wacha mtulizwe tu mmezidi bhaana khaah'..!!

anyways, siungi mkono hoja maana kifaa yangu me naituliza kwa damu ya Yesu..!!
Huungi mkono hoja ila unaona ni sawa wanawake wenzako kuwatuliza waume zao.

Hata wewe ni mmoja wao kama siyo leo kesho.
 
Kuto kujiakubal na ndo hupelekea wanaume kufa mapema.
 
Hata kama mwananmke awe mzuri namna gani lazima ataenda kwa Sangoma ili ajihakikishie penzi lake.

Tofauti na wanaume ambao wakipata mwanamke kutumia limbwata huwa ni nadra sana. Sasa tatizi ni nini hasa mpaka wanatumia mizizi?

Kwa nini hawajiaminin kabisa?
Hii ilikuwa zamani kabla hata wewe hujazaliwa, siku hizi wanaume wa kibongo fleva ndiyo wanao ongoza kuwaroga kina Mama wenye maisha yao. Utakuta kijana hana hili wala lile anazungusha ndinga mjini kuhonga wasichana kumbe gari si lake ni la mamsap wake. Wanaroga ili kurithi mali wakahonge wanawake wengine.
 
Back
Top Bottom