Kwanini wanawake wanang'ang'ania sana ndoa?

Umalaya ni matokeo ya jamii iliyofeli. Hata mkikataa jamii inaongozwa na mwanaume. Mtakimbia kimbia ila ndo uhalisia.
Ujinga mtupu....!! Update kwanza ufahamu wako kuhusu mabadiliko ya kijamii(radical social changes) na athari zake kabla hujaanza kuleta biased thoughts ambazo hazina maana hata kidogo na ziko nje ya uhalisia.

Leo hii Wanawake wanachagua kuwa masingle mothers kwa hiyari yao wenyewe kisa Wana vipato vyao, haya kesho na kesho kutwa akiishiwa hizo hela akaanza kuishi kwa kudanga yeye na huyo mtoto wake wa kike.. utaanza kulaumu wanaume kwamba wao ndio sababu ya huo umalaya wa mtu na mama???
 
Nini mantiki ya swali lako kuniuliza kwamba ninaishi na familia yangu hapa???? Unataka kusema nini hasa?
Kuna mtu ana changamoto kama yako. Nyumba ya urithi kaachiwa na anaishi hapo na mke na mtoto mdogo, Malaya wanasimama hadi getini kwake. Kukutana na condom iliyotumika si ajabu kwake. +ve kwake ni mtoto bado mdogo ila anakiri hajui akianza kukua atamuepusha vipi na hilo balaa, Wewe unadeal na hiyo hali vipi?
 
Umekurupuka boss. Ukitulia ukaelewa kazi ya mwanaume katika jamii utaelewa ninachosema ila kwa sababu una mbio umekimbia tu bila kujali.
Wewe akili huna... Endelea kushusha lawama kwa wanaume kwa ujinga na ushenzi unaofanywa na Wanawake.

It's always a man's fault right..?? Ila angalia tu wasije wakakuvalisha na wewe sanitary pad wakijua ni mwenzao.

The biggest simp of all time
 
Mwambie hawafukuze hao malaya si ni nyumbani kwake?
 
Sasa kama ni hivyo haya malalamiko yako ilipaswa uyaweke kwenye muktadha wa individual level na sio kuongea too general kama kwamba wanaume wote tuko responsible kwa ushenzi tunaona ukifanywa na Wanawake.
Wanaume wote au % kubwa tukiwa na msimamo unaofanana ndo tutaleta impact. Mfano, kuna nchi sijui ni uarabuni wanawake hata kuendesha gari hawaruhusiwi na wanatii, sasa hili la umalaya litushinde?. Ni approach tu tunakosea, Sisi ndo wenye mamlaka.
Boss, hapa sasa ndo tunapotofautiana mtazamo. Kama binti aliyeharibika atakemewa umalaya wake na kila mwanaume anayejirahisha kwake huoni atakuwa kwenye wakati mgumu sana kuendeleza umalaya?
Kwenye comments zako za nyuma umeshusha lawama kwa wanaume generally utafikiri leo wewe ukizaa mtoto anakuwa Mali ya wanaume wa jamii nzima... Acha upuuzi wewe.
Ndicho ninachomaanisha. Mtoto wa kike awe mali ya jamii ya wanaume sababu ni kwa ajili ya mwanaume. Kama unaona ni upuuzi ni kutofautiana mtazamo tu, ila binafsi naona nikikemea umalaya wa binti ya jirani na jirani akakemea umalaya wa binti mwingine kwa vitendo, woooote tutakuwa na sauti moja.
Wateja ni sisi wanaume, wenye maamuzi ni sisi wanaume. Tunaweza kuamua kuukataa umalaya kwa sauti moja. Kama hili haliwezekani tukubali kuwa tumefeli. Ndicho ninachosema.

Miaka ya 70 mtoto alikuwa anatandikwa hata na stranger akionyesha tabia za umalaya. Kipindi kile ilikuwa si rahisi binti kuufanya umalaya waziwazi kama sasa.
 
Wewe akili huna... Endelea kushusha lawama kwa wanaume kwa ujinga na ushenzi unaofanywa na Wanawake.

It's always a man's fault right..?? Ila angalia tu wasije wakakuvalisha na wewe sanitary pad wakijua ni mwenzao.

The biggest simp of all time
Unahemka ila hoja yangu umeielewa, ninachokiona ndo hicho, wanaume tumefeli, mabinti hawana hofu hata kwa wazee wao, tumekosa makali ya kukemea uovu tukasikilizwa. Na hapo ndo tatizo lilipo.
 
Mwambie hawafukuze hao malaya si ni nyumbani kwake?
Hana nguvu ya kisheria maana hakuna sheria inayokataza mtu kusimama barabarani akiwa kavaa kimini. Ni jambo lililoshindikana tangu enzi na enzi ila wanaume wa zamani walifanikiwa kudhibiti uholela wake na walikuwa wakikemea kwa sauti moja tofauti na sasa ambavyo binti yako, jirani yako tena mzee mwenzako mnayekaa na kupata whisky ndo anamnunua.
 
Mara nyingi nimeshuhudia kwenye arguments za wana ndoa kuhusu mipango ya kimaendeleo.

Utamskia mwanamke akimuambia mume wake "sasa ukifa mimi na watoto tutaishije?"

Yani wao wanajiweka wa mwisho kufa.
Na ndivyo mara nyingi inavyokuwa.

min -me hii inasababishwa na nini?
 
😅😅
 
Umalaya ni matokeo ya jamii iliyofeli. Hata mkikataa jamii inaongozwa na mwanaume. Mtakimbia kimbia ila ndo uhalisia.
Vipi ke anayekataa malezi, vipi katika ukuaji wake akashawishika kuijiunga huko?, Sasa unataka kuweka ulazima?,
Iv unahisi binadam wana uelewa sawa ?
 
Reactions: Tsh
Vipi ke anayekataa malezi, vipi katika ukuaji wake akashawishika kuijiunga huko?, Sasa unataka kuweka ulazima?,
Iv unahisi binadam wana uelewa sawa ?
Mkuu, ke anayekataa malezi kuna mwanaume/wanaume wanampa kiburi. Tunarudi kwenye point ya uhusika wa mwanaume. Sasa imagine wazazi wa huyo binti na hao wanaume wanaompa kiburi wakawa na sauti moja ya kuukataa umalaya.
 
Mkuu, ke anayekataa malezi kuna mwanaume/wanaume wanampa kiburi. Tunarudi kwenye point ya uhusika wa mwanaume.
Sasa utalazimisha akusikie?
Mbna Mungu katupa amri zake 10, zifuatwe ikiwa ni maadli, na wala halazimishi mtu ni hiari, na madhara yake tunayajua anyway ni mfano.
 
Sasa utalazimisha akusikie?
Mbna Mungu katupa amri zake 10, zifuatwe ikiwa ni maadli, na wala halazimishi mtu ni hiari, na madhara yake tunayajua anyway ni mfano.
Sauti ikiwa moja atakosa option mkuu. Mwanamke hawezi kufanya jambo ambalo mwanaume halitaki.

Kinachotokea ni kuwa sisi wanaume ndo tunawapa options.
Mfano mke malaya akikatazwa na mume aache umalaya hasikii sababu kuna mwanaume mwingine yupo.

Sasa ikitokea wanaume wote tuna sauti moja kuhusu umalaya nini kinafata? Akijirahisisha kwa mchepuko anakutana na mwanaume asiyependa umalaya, akienda huku ni katazo la umalaya, kule ni katazo la umalaya, huku katazo la umalaya. Anafanyaje?
 

Mwanamke anachagua sababu kuna option otherwise angetii mamlaka iliyopo. Mamlaka ya mwanaume,

Kuna hii picha inatembea sijui ni halisi au la, itazame halafu uniambie hakuna mabinti wenye ujasiri kama huu kwenye jamii? Iwapo kila mwanaume angekuwa analaani tabia ya umalaya huyu binti angekuwa na option ya umalaya?
 
Hizo picha si halisia,ila zinafikisha ujumbe kua wanaume tuwakatalie hawa wanawake ambao inaonyesha wanataka tuambatane nao kwenye uvunjifu wa maadili.
 
Reactions: Tsh
Hizo picha si halisia,ila zinafikisha ujumbe kua wanaume tuwakatalie hawa wanawake ambao inaonyesha wanataka tuambatane nao kwenye uvunjifu wa maadili.
Kabisa mkuu. Umenipa term mpya. Muambatano. Ukitembea na mhuni umeambatana naye. Unamsaidia kufanya uhuni. Wote kwa pamoja mnashirikiana kuharibu maadili.
 
Ndoa ni hadhi, heshima na taadhima.
Pia wanataka uhalali na ushikamano katika maisha.
Ndoa Raha tupu wanandoa wakifahamu mbinu zake.
 
Daah,

Ni ilaaniwe Mbunye.

KATAA NDOA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…