Kwanini Wanawake wanapenda kusema "nina Msukuma wangu" na sio kusema nina Mkurya au Mchaga wangu?

Wanatusema wasukuma ni washamba cha ajabu Kila sekta kubwa utakuta msukuma yupo Sema mzee wangu Pascal Mayalla
Yani kwenye era yenu ya ujana mlienjoy sana mzee wangu
👉Experience kutoka kwa mzee wangu kazaliwa 1956, enz zenu kuoa wanawake wanne na kuendelea haikua ishu, upendo ulikuwa wa ukweli , hapakuwa na unafiki
👉Wazee wetu nyie mlijua kuficha siri zenu za ndani
👉Enzi Zenu hakukuwa na daddy wala uncle, hapa ilisaidia mtoto wa kiume kulelewa malezi ya kibaba zaidi
👉Wanawake wa 1975 kurudi nyuma walikuwa tolerative, wenye kazi na wasomi walikuwa wachache hivyo.
Mama zetu walikuwa sio wajuaji lakini wenye akili na hekima kubwa
 
Acha uongo
Wasukuma ni Royal tribe...Wanaongoza kwa ufugaji wa ng'ombe, kilimo cha Mpunga, uchimbaji madini .. mwanamke hawezi akamhitaji mwanaume asiye mpambanaji, mwanamke wa leo anahitaji maokoto ili aendeshe maisha na kuhusu wanawake weupe kila mtu anahitaji kuwa na mwanamkd mweupe lasivyo wanawake wasingehangaika kununua karolaiti ku-faki weupe ili muwatamani,
 
Nitoe kwenye kundi la kutaka wanawake weupe,mimi. Msukuma lakini sijawahi kuvutiwa na hizo ngozi
 
Tena akiwa mwanamke Mweupe Msukuma Hoi
 
Lipo moja liko kama zezeta,nimelichuna weeeee halikomi tu.
Uzuri na lenyewe limekulamba, btw katika wanaume 10 ambao inasemekana wanachunwa ni 2 tu ndo wanachunwa kweli ila wengine utaita unawachuna kumbe wameweka fungu maalumu la kuchunwa na ndio maana hawakomi na hata ukimuacha unakuta uchumi wake haujayumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…