SimbaMpole123
JF-Expert Member
- Apr 23, 2023
- 5,501
- 4,956
Vitu vya mapepo ni vipi? Au ni vitu ambavyo we huvipendi so unatishia watu tuMapepo yanatokewa Kwa Jina La YESU kristo.
Tofauti na hapo ni kupinga Pepo na kubembelezana nayo.
Wanawake waache kuvaa vitu vya mapepo Ili iwe Rahisi kuachana nayo moja Kwa moja!!