RealixT
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 1,547
- 2,751
Mama faiza umeongea nnHayo yatakuwa majinni ya Waarabu na Waislam.
Mapepo kama yaliyomwingia Yesu siku 40 yanawaingia wanaume tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama faiza umeongea nnHayo yatakuwa majinni ya Waarabu na Waislam.
Mapepo kama yaliyomwingia Yesu siku 40 yanawaingia wanaume tu.
Inasikitisha sana mimi nakutana na Wanawake wengi wanaoitwa single mothers, wamezalishwa wamebaki na watoto wanaume wamewatelekeza hata kuhudumia watoto wao hawataki.Wanaume tunahusika direct na taabu wanazopitia wanawake.
Ikiwa ulipata mtoto nje au kabla ya NDOA mtafute umlee,
Vijana wa kiume waache uhuni, waoe na kukaa na familia.
Na TABIA ya ulevi kuzalisha wanawake na kuwaacha ni dhambi kubwa na Mzigo Kwa Taifa.
Wanaume turudi Kwa mstari.
Sadaka inahitajika kupelekwa Kwa wanawake wenye kupitia Hali ngumu kimaisha Ili kuwapunguzia Mzigo.Inasikitisha sana mimi nakutana na Wanawake wengi wanaoitwa single mothers, wamezalishwa wamebaki na watoto wanaume wamewatelekeza hata kuhudumia watoto wao hawataki.
Kwanini mtu timamu kabisa hataki kumhudumia mtoto wake wa damu yake?
Wanaume tunawaumiza sana Wanawake.
Binasfi huwa nasikitika sana hakika.
Wanawake kuweni makini sana na Wanaume mnao kutana nao Barabarani.
Kama kuzaa nao muwafanyi Utafiti kwanza kama wana hiari ya kulea watoto mnao zaa nao.
Alisahau Ku switch accountMama faiza umeongea nn
Nani analala chooni, nani ana mapepo coz of mapambo...mmeambiwa mbona masaki watu wanaishi vizuri na vyote hivi. Acheni wivu wa maendeleo wajinga ndo waliwao.Utajiri utokao Kwa Mungu ni OG, wa shetani ni fake.
Yaani uwe na pesa mingi halafu unaambiwa ulale chooni daily, hz pesa za nn!!
Anyway turudi kwenye mada,
Mwambie dakako aepuke mapambo, ni hatari.
What is the evidence of mapepo? Why yanachagua watu wenye small critical thinking mostly watu wa kipato Cha chini au elimu duni..why Kuna watu sio hata wa dini na hawapati mpaka wanakufa..it's all in the mind. Kama umekuwa katika jamii au nyumba inaamini ujinga lazma utaona ujinga..ubongo unatengeneza picha Accord to ulivyoiconditionWe ndo umetoa HOJA irrelevant,
Mapepo hayaogopi watu wa kipato Cha juu, hayabagui, hayachagui.
Hii ni factor...in short wanawake wanawork kwa hisia zaidiHakika Wanaume wengi hawa wathamini inavyopasika Wanawake zao.
Kumbuka kutokana na kuzaa na kazi kazi Wanawake wanachakaa haraka kuzidi wanaume.
Nina marafiki zangu wengi tu wamewaacha wake zao baada ya kuchakaa na kuona Wanawake wengine vijana na warembo.
Hili linapelekea Wanawake wengi Kutafuta nguvu za Imani ili kuwarudisha waume zao katika upendo wa awali.
Hapo Wanawake hasa wale wa kiasili huwa wanaaamua kutumia maombi au waganga wa kienyeji.
Ndio maana unaona kwenye Makanisa Kuna waumini wengi wanawake. Na wengine huamua kwenda kwa waganga wa kienyeji.
Wanaume tuwathamini wake zetu tulio anza nao maisha.
Huwa wanaumia sana tunapo waonesha Upendo hafufu baada ya kuishi nao muda mrefu.
😂Unasema tuoe wakati Hadi matajiri na mastar kina will smith wanateseka na ndoa je sisi hebu...Wanaume tunahusika direct na taabu wanazopitia wanawake.
Ikiwa ulipata mtoto nje au kabla ya NDOA mtafute umlee,
Vijana wa kiume waache uhuni, waoe na kukaa na familia.
Na TABIA ya ulevi kuzalisha wanawake na kuwaacha ni dhambi kubwa na Mzigo Kwa Taifa.
Wanaume turudi Kwa mstari.
Mi namshangaa Yesu kaingiwa mapepo liniMama faiza umeongea nn
That is their problem...😂😂hivi ushawahi fuatilia nani anasababisha single mothers. Wewe hivi videmu vinakataa wanaume wema kwa mi play boy yenye hela afu ikitumika inalalamika wanaume wabaya wakati unakuta Kuna msururu wa wanaume wema wamepigwa chini. Hili swala la usingo Maza is by choice Tena unakuta mtu ana baba watatu tofauti lyk wtfInasikitisha sana mimi nakutana na Wanawake wengi wanaoitwa single mothers, wamezalishwa wamebaki na watoto wanaume wamewatelekeza hata kuhudumia watoto wao hawataki.
Kwanini mtu timamu kabisa hataki kumhudumia mtoto wake wa damu yake?
Wanaume tunawaumiza sana Wanawake.
Binasfi huwa nasikitika sana hakika.
Wanawake kuweni makini sana na Wanaume mnao kutana nao Barabarani.
Kama kuzaa nao muwafanyi Utafiti kwanza kama wana hiari ya kulea watoto mnao zaa nao.
Vyovyote vile that's unnecessary injury kwa binadamu sio haki ndo maana jamii ya saa hivi huwezi fanya hivyo public...labda ndani ya makanisa ya kijingaZamani mtu akipatikana na mapepo basi testi ya kwanza ilikua kumtandika bakora barabara. Ikiwa ni pepo la kweli basi mtu atakua salama, ikiwa nmapepo feki ya ku act basi atapiga mayowe na kilio kuomba aachiwe kakoma hatarudia tena keleta ujinga wa mapepo feki.
Hayo yatakuwa majinni ya Waarabu na Waislam.Mama faiza umeongea nn
Ni kheri Kuoa kuliko kutangatanga Kwa tamaa.😂Unasema tuoe wakati Hadi matajiri na mastar kina will smith wanateseka na ndoa je sisi hebu...
We oa. Asilimia 70% ya ndoa duniani huvunjika nowadays, asilimia 80% ya divorce ni mwanamke anaomba talaka...asilimia 90% ni mwanamke anafaidika baada ya kuachana na mwanaume anaumia kiuchumi na kihisia zaidi. Hayo mambo ya ubavu cjui Nini ni story za wayahudi tu ila the real world ukiendekeza uishi kana wayahudi wa miaka 3000 iliyopita utapigwa za mbavuNi kheri Kuoa kuliko kutangatanga Kwa tamaa.
Ukipata mke sahihi ubavu wako OG , NDOA ni njema sana.
Role model wako ktk NDOA awe mtumishi wa Mungu Si hao mastaa wa Dunia.
What is the evidence of mapepo? Why yanachagua watu wenye small critical thinking mostly watu wa kipato Cha chini au elimu duni..why Kuna watu sio hata wa dini na hawapati mpaka wanakufa..it's all in the mind. Kama umekuwa katika jamii au nyumba inaamini ujinga lazma utaona ujinga..ubongo unatengeneza picha Accord to ulivyoicondition
Kwahiyo kwako kununua MAKAHABA unaona ndio akili?We oa. Asilimia 70% ya ndoa duniani huvunjika nowadays, asilimia 80% ya divorce ni mwanamke anaomba talaka...asilimia 90% ni mwanamke anafaidika baada ya kuachana na mwanaume anaumia kiuchumi na kihisia zaidi. Hayo mambo ya ubavu cjui Nini ni story za wayahudi tu ila the real world ukiendekeza uishi kana wayahudi wa miaka 3000 iliyopita utapigwa za mbavu
Tunaongelea mapepo halisi yanayowashambulia wanawake zaidi kuliko wanaume.Zamani mtu akipatikana na mapepo basi testi ya kwanza ilikua kumtandika bakora barabara. Ikiwa ni pepo la kweli basi mtu atakua salama, ikiwa nmapepo feki ya ku act basi atapiga mayowe na kilio kuomba aachiwe kakoma hatarudia tena keleta ujinga wa mapepo feki.
Nenda hospitali, kaa na doctors, ingia wodi ya vichaa utajua tofauti ya ukichaa wa kawaida na unaosababishwa na mapepo.What is the evidence of mapepo? Why yanachagua watu wenye small critical thinking mostly watu wa kipato Cha chini au elimu duni..why Kuna watu sio hata wa dini na hawapati mpaka wanakufa..it's all in the mind. Kama umekuwa katika jamii au nyumba inaamini ujinga lazma utaona ujinga..ubongo unatengeneza picha Accord to ulivyoicondition