Kwanini wanawake washika dini Waislamu hawana Sigda kama wanaume?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Kwa uzoefu wangu sigda huwa naziona kwa wanaume wa Kiislamu tu, sina uhakika kama wanaume wote wenye Sigda ni swala tano lakini upande wa wanawake hata awe wa swala tano kila siku sijawahi kumuona mwenye Sigda.

Huu utofauti unachangiwa na nini?
 
Wanaawake swala tano walio shika dini vzr wanafaaa saana kuoa.

Wananidhamu ya Hali ya juu saana kuanzia kujisitiri na Tabia

Mungu awabariki popote walipo.

Kuhusu sijgda nadhani ni necha ya miili Yao. Wengi husalia nyumbani hamna lile kapeti linaloleta msuguano Kati ya paji la USO na kapeti ambao husababisha sijgda.

Ukhty Shadeeya Una maelezo yaziada??
 
Wanawake wana udhuru wa kutoswali wakiwa katika ada Yao ya kila mwezi na wakiwa katika nifasi tofauti na Wanaume kila siku wanaswali.

Hata Wanaume wanaoswali kila siku n hawana sigida wapo wengi tu.

Waislamu swala Tano ndio lazima ila Kuna wengine wanaswali swala za ziada za sunnah kama vile kusimama usiku kuswali na nyinginezo, na wengine wanaitisheka kuswali za lazima kwao pekee.
 
Kwa uzoefu wangu sigda huwa naziona kwa wanaume wa Kiislamu tu, sina uhakika kama wanaume wote wenye Sigda ni swala tano lakini upande wa wanawake hata awe wa swala tano kila siku sijawahi kumuona mwenye Sigda.

Huu utofauti unachangiwa na nini?
Uanzishe thread pia kwann wakristo wanachukia ijabu,wakati sanamu la bikira la. maria limevishwa ijabu,,na masister pia wanavaa nguo za kujistiri na ijabu........
 
Duu mambo mengine sio poa,unachunguza watu hadi umefikia hapo! Anyway Hili swali ni sawa na kusema mbona omaga ananyanyua vitu vizito lakini hana misuli kama John cena!
Kila mtu na mwili wake na ngozi yake!
 
Uanzishe thread pia kwann wakristo wanachukia ijabu,wakati sanamu la bikira la. maria limevishwa ijabu,,na masister pia wanavaa nguo za kujistiri na ijabu........
Wanawake Wakristo hawalazimishwi na dini yao kuvaa Hijabu, uvaaji wa masista wa Kikatoliki wamejiamulia tu wenyewe katika dhehebu lao.
 
Wanawake Wakristo hawalazimishwi na dini yao kuvaa Hijabu, uvaaji wa masista wa Kikatoliki wamejiamulia tu wenyewe katika dhehebu lao.
Kwaiyo hata muumini akienda kanisani na umini hadi bikini inaonekana ni sawa tu,, maana tunawaona jpili wengine matako wameyabana hadi michupi mikubwa inaonekana na kututega sisi watumishi wengine wa kiroho
 
Wanajisugua makusudi. Halafu waarabu wenyewe hawana hiyo kitu wengi ni ngozi nyeusi
 
Kwaiyo hata muumini akienda kanisani na umini hadi bikini inaonekana ni sawa tu,,
Ndiyo, ni sawa. Makanisa mengi tu wanawake wanaenda kanisani na vimini. Katika dini ya Kikristo kilichozuiliwa na Biblia ni wanawake kuvaa nguo za wanaume na wanaume kuvaa nguo za wanawake. Miongozo mingine yote ni taratibu za makanisa tu.
 
Wamejisitiri miili tu siyo nafsini ...wachawi na washirikina wote wanao enda misikitini huwa vizuri kwenye kujisitiri miili ila nafsi zao ni chafu sana ...na hivyi ndivyo ilivyo kwa watu wanao jivunia dini katika kizazi chetu cha duniani ni wanafiki watupu
 
Kwa uzoefu wangu sigda huwa naziona kwa wanaume wa Kiislamu tu, sina uhakika kama wanaume wote wenye Sigda ni swala tano lakini upande wa wanawake hata awe wa swala tano kila siku sijawahi kumuona mwenye Sigda.

Huu utofauti unachangiwa na nini?
Wanawake wa kiislam wanajitambua.
 
Kwaiyo hata muumini akienda kanisani na umini hadi bikini inaonekana ni sawa tu,, maana tunawaona jpili wengine matako wameyabana hadi michupi mikubwa inaonekana na kututega sisi watumishi wengine wa kiroho
Wapo wanawake pio ambao huwa wanavaa hijabu ambazo zinabana sana matako na kuwatega waja wa Allah.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…