Kwanini wanawake washika dini Waislamu hawana Sigda kama wanaume?

Kwaiyo hata muumini akienda kanisani na umini hadi bikini inaonekana ni sawa tu,, maana tunawaona jpili wengine matako wameyabana hadi michupi mikubwa inaonekana na kututega sisi watumishi wengine wa kiroho
wakitembea uchi ndio uasilia wenyewe tangu bustani ya edeni, kuna ajabu gani hapo? Umezaliwa miaka ipi ambayo hukuona watu wazima wakitembea uchi wala hakuna wa kushangaa?
 
Nikueleweshe, hii tunaita sijda au zabiba shehe wangu, na unaonekana wewe sio muislamu hufahamu lolote na acha nikueleze.
Sijda au mtende, sio kipimo cha ucha mungu au ubora wa ibada kwa waislamu, hiyo alama wanayo waislamu wachache kwa walio wengi, kakae msikitini uangalie, mimi naona wengi walionayo ni wanaume wenye ngozi nyepesi, na ambao mara kwa mara hupata msuguano wa ngozi na ardhi au zulia.
Kwa wanawake sasa, ni nadra kuona kwasababu, ngozi yao ni laini zaidi, na haiathiriki sana na msuguano.
Wanawake kusujudu kwao ni kwa upole, na sehemu kubwa ya mwili huwa tulivu, kwahyo ule msuguano huwa mdogo.
Swala la mwisho, ni yale mazoea ya kutumia kitambaa, kitenge au hijabu, tofauti na wanaume huende bila kofia wala kujifunika.
Narudia tena sijda sio kipimo cha ucha mungu shehe.
Ila jambo jingine unapata nguvu wapi kuhoji kwa kulinganisha mwanamke na mwanaume wa kiislamu kwenye kusali, are you mad? Embu acheni hivi vitu.
 
Mimi Nina jirani yangu hapa ghetto,anajisiriri haswa....ila kuna katabia sikapendi ....mume wake akiondoka tu anaanza kunigongea kuniomba Vitu ( visivyoeleweka) mara solatape ...wino wa.kufuta,na kalamu ya kijani! Tena anakuja kichwa wazi😁
 
Tena wanafiki wa hali ya juu
 
Mimi Nina jirani yangu hapa ghetto,anajisiriri haswa....ila kuna katabia sikapendi ....mume wake akiondoka tu anaanza kunigongea kuniomba Vitu ( visivyoeleweka) mara solatape ...wino wa.kufuta,na kalamu ya kijani! Tena anakuja kichwa wazi😁
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Msemeee Kwa mume wake kaka
 
Tabia ya mtu haijionyeshi tu kupitia mavazi hata yawe marefu kama matawi ya mti wa mwembe. Tabia ya mtu ni matendo yake tu.
 
Kwa uzoefu wangu sigda huwa naziona kwa wanaume wa Kiislamu tu, sina uhakika kama wanaume wote wenye Sigda ni swala tano lakini upande wa wanawake hata awe wa swala tano kila siku sijawahi kumuona mwenye Sigda.

Huu utofauti unachangiwa na nini?
Wanamme huwa tujisogua kwenye mikeka ili itokee... Tukiamini kwamba sigda tukifika kwa ALLAH ndio itakuwa torch ya peponi.
Ila pia huwezi kuta mwarabu ana sigda ni sie wamakonde wa tandahimba na warangi tu.
 
Sijida hutokana na kifaa mtu anachotumia kuswalia
Kwa wanaoswalia kwenye ma carpet yale malaini hawawezi kupata sijida na ndio sababu waarabu hawana
Huku Africa kwa sababu ya hali zetu watu wanashwalia kwenye kirago au mkeka lazima sida ionekane.
 
Kwa uzoefu wangu sigda huwa naziona kwa wanaume wa Kiislamu tu, sina uhakika kama wanaume wote wenye Sigda ni swala tano lakini upande wa wanawake hata awe wa swala tano kila siku sijawahi kumuona mwenye Sigda.

Huu utofauti unachangiwa na nini?
Utazionaje wakati wamejifunika kilemba,sawa na mtu aulize kwa nini masista nywele zao hazipo kama mapadri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…