Kwanini wanawake wazuri hawaolewi

Kwanini wanawake wazuri hawaolewi

Wana maringo sana na inawachukua muda sana kujitambua. Kwa kawaida hao wanaoonaga ni wazuri wakijaga kujielewa huwa kumeshakuchwa. Na wanaume kwa kugundua hilo huwa wanatumia njia zote wawaonje then ni kusepa.

Mungu awasaidie kwa kweli waweze kujitambua popote walipo
 
Iyo misemo ya wababaishaji tu. Mwanamke mzuri anajulikana na mbaya anajulikana.
Ukubali ama ukatae lakini huo ndiyo ukweli wa asili ya maumbile.

Siyo kila mwanamke utakayempenda wewe nami nimuone almasi.

Au chaguo langu nawe liwe ndiyo chaguo lako.
Nimekuelewa aina ya wanawake unaowaongelea.
Hizi hadithi za 'mzuri' ziliwapumbaza hadi wakawa wasimbe, kwa sababu kiuhalisia hawana uzuri ambao kila mtu anautaka.
 
Mkuu sio kila mwanamke alie olewa alikua ni chaguo la kuolewa la mtu alie muoa ila wanawake wazuri huwa ni watata kuolewa kwanza huwa sio ving'ang'anizi hata ukimuita aje atakuja ila wala hawezi kujiongeza sijui ndo alilie kukaa hapoo hapo ila halipo ndugu ila hawa wengine sasa aisee ile siku ya kwanza amekuja kwako anakusomea ramani akija tena anachek usawa wa uchumi akija mara ya tatu hiyo ndo imetoka hapo unaoa moja kwa moja....
 
Hakuna popote nilipowatusi hao uliowataja
Umesema wanawake wanaoolewa ni wabaya mkuu, umewatusi kimafumbo.

Mkuu hamna njia/kigezo cha kupima urembo, kila mtu na macho yake.

Kwa mazoea yangu huku bongo watu wengi wanapenda wanawake weupe, wenye makalio makubwa na sura za muonekano wa kihindi flani....
Hiyo ndo conventional beauty huku tz...

Sasa mimi ninaependa wanawake weusi, wembamba wenye macho makubwa nikioa watu si watasema nimeoa bundi?

Lakini mimi mwenyewe kwenye nafsi yangu najua nilichochagua.
 
Kuna like ngoma lilibamba sana,


Wanawake wazuri wameolewa!!!!
Yamebaki manunga embe yanaangaika, ndundundu!!!!😅😅

Game limechange, manunga embe yameanza kuolewa ,kweli Dunia duara
😀😀😀😀 kwenye ule wimbo wanawake wazuri walimaanisha wanawake wenye maadili na tabia nzuri na manung'ayembe ni wenye tabia za umalaya na viburi.
 
Ukubali ama ukatae lakini huo ndiyo ukweli wa asili ya maumbile.

Siyo kila mwanamke utakayempenda wewe nami nimuone almasi.

Au chaguo langu nawe liwe ndiyo chaguo lako.
Nimekuelewa aina ya wanawake unaowaongelea.
Hizi hadithi za 'mzuri' ziliwapumbaza hadi wakawa wasimbe, kwa sababu kiuhalisia hawana uzuri ambao kila mtu anautaka.
Hapa unachanganya mambo tu mkuu, mzuri anaonekana na sura ya baba inaonekana, lakini naheshimu mtazamo wako mkuu.
 
Wanaliwa Sana na wenye Pesa na madingi, mtu anapotaka kufikiria kumwoa anasikia Fulani kapita, Fulani kapita ana kunja mkia
😅😅😅😅Na ss tusio na pesa tunakuja kujilia kimasihara baada ya wao kuchoshwa na wenye pesa Kisha kuwatelekeza kusikojulikanaa ..........

Ujumbee huu umfikie mrembo mmoja hv maninaa zake watu wenye pesa wamekula wameshiba now anasema aje yeyote tu tujenge familia na mitatu yake km Chris brown....uzuri una mwisho
 
Kuna sababu kubwa sana yenye nguvu ya kwanini wanawake wazuri kimuonekano hawaolewi.

Nimeona na kusikia sana kuanzia mtandaoni mpaka mtaani watu wakishangaa mwanamke fulani ni mzuri lakini haolewi.

Wanaume wote waliopita hapo na wakakimbia sio wajinga kama watu wanavyofikiria.

Wameuona moto, wamekiona kifo, wamemuona lusifa mwenyewe, wamekunywa sana azuma, wameona dalili zote za kuishia kuwa masikini wakabwaga manyanga kwa usalama wa afya, akili na uchumi wao.

Most beautful women that attracts a lot of men have strong character issues, they have bad attitude that in the course of time you as a man dating or marrying her will be a victim of her venom.

Uzuri wake usikuzibe macho ya kuona ukweli, ukiona red flag yoyote kanuni ni ile ile, HIT AND RUN
Magari mazuri (kimuonekano) yote yanaongoza kwa kuwa na gharama kubwa (yanatumia sana mafuta, spare zake ni gharama, kuna muda likiharibika halitengenezeki, mabovu hayadumu)

Hakuna anayependa shida
 
Back
Top Bottom