Kwanini wanawake wazuri hawaolewi

Kwanini wanawake wazuri hawaolewi

Ndoa imebeba hatma ya maisha na future ya mwanaume, so unaweza ukakuta wana wanazipiga sana pisi kali mtaani, ila kwenye kuoa anaoa wa kawaida. So hamna anaye waogopa kuwatogoza, ndio maana kila siku wanagongwa,ila tabia zao kwenye mahusiano ya uchumba ndizo zinawaogopesha wanaume kuwaoa.
 
Tragedy ni pale unaoa sura ya kazi na anatembeza kitumbua kwa wahuni baada ya kumtajirisha. Yaan anaanza kuhonga vihandsome boy vimkamue ww ukiwa haupo. Haya mambo hayana formula, kila mtu ashinde mechi zake, mm nimepaki mtoto mkali na mwanzo nilimfurumushia watoto watatu kwa mpigo
 
Hakuna mtu mwenye sura mbaya, hao mnaowaita sura mbaya ndio wife material.
Lazima watakuwa wife material Sasa sura huna na tabia huna sii utakuwa majanga ndugu yangu.
Anagalu ukiwa na tabia za kiwife material unaweza wapata waoaji.

Ni sawa na sie wanaume kama huna hela basi uwe handsome au mtombajii mzuri
 
Back
Top Bottom