Kwanini wanawake wazuri hawaolewi

Kwanini wanawake wazuri hawaolewi

Nimesoma kwa uchungu mpaka nmetetemeka!
Natengua kauli mimi ni Gorilla sio hata mzuri..
Anyway: Uwe mke wa mtu uwe malaya " Dunia tunapita" kila mtu ashike 50 zake....
Ila si Kuna ukweli,ukiwa mzuri mno unawaza uolewe na mtu mkubwa hata mkaishi ulaya, unaangalia mwenye level za juu za maisha , mwishowe anakuzalisha anakuacha. Yaani Kila ukipiga Kona unatongozwatongozwa ama unatolewa macho unategemea nini jamani,sema tu ukweli wewe unaye mme Ila wanawake wanamtolea macho
 
Akhaa ukiwa wa kawaids wanakuogopa tu utaskia nahisi sikuwezi kukupa maisha utadhani umesema unayataka?
 
Akhaa ukiwa wa kawaids wanakuogopa tu utaskia nahisi sikuwezi kukupa maisha utadhani umesema unayataka?
Nani akuogope. Mie Kama moyo umekuwelewa nakuja nakueleza swaga zangu hata ungekuwa unamiliki ndege binafsi,Wala ilo halizuii mapenzi kutokuwepo baina ya mioyo miwili. Mana moyo haujui mahitaji Bali unajua kupenda
 
Amin
Ila nmewaongelea wazuri mimi hapana kawaida sana ila nna rafiki zangu pisikali
 
Kuna sababu kubwa sana yenye nguvu ya kwanini wanawake wazuri kimuonekano hawaolewi.

Nimeona na kusikia sana kuanzia mtandaoni mpaka mtaani watu wakishangaa mwanamke fulani ni mzuri lakini haolewi.

Wanaume wote waliopita hapo na wakakimbia sio wajinga kama watu wanavyofikiria.

Wameuona moto, wamekiona kifo, wamemuona lusifa mwenyewe, wamekunywa sana azuma, wameona dalili zote za kuishia kuwa masikini wakabwaga manyanga kwa usalama wa afya, akili na uchumi wao.

Most beautful women that attracts a lot of men have strong character issues, they have bad attitude that in the course of time you as a man dating or marrying her will be a victim of her venom.

Uzuri wake usikuzibe macho ya kuona ukweli, ukiona red flag yoyote kanuni ni ile ile, HIT AND RUN
True, I have also the same experience in additional to, some do not satisfy men sexually. Better to say few things for them because ni mama zetu nasisi ni baba zao.
 
Ita depend na mwanaume, kuna wale low confidence, akijiona sura haijafika viwango vya anae mdate anaingiza hofu, hana pesa, hana maisha fulani so automatic na vile jamii ina waset attractive ladies basi anajiona hana bahati

Ila ladies wenye mvuto ni watu poa sana, ukiweza kufuta insecurity na confidence ikawa juu anakueheshim
Hakuna Cha confidence wala nn… oa mke mzuri ulee mtoto wa boss wake
 
Aliyekwambia hawaolewi nani?au mkiwa huko vijiweni na WAJINGA wenzio ndo mnajipa matumaini kwamba wanawake wazuri hawaolewi?
Unaumri gani kijana?
Oa Mwanamke mzuri alafu ki finance uwe empty, utakuja kuleta mrejesho hapa, ataliwa hadi na kaka zako wa damu kama sio babaako mzazi..
 
Aliekuambia wanaolewa ni nani au wewe na mashoga wenzako hamjui tofauti ya pisi kali na sura za baba.
Huyo dogo bado anautoto kichwani, mpaka siku amfumanie baba ake na mkewe chumbani ndo akili itamkaa sawa, pisi kali nyingi hazina akili kichwani, wao huisi uzuri wao ndo suraha kubwa y kumchapia mwanamke
 
Ita depend na mwanaume, kuna wale low confidence, akijiona sura haijafika viwango vya anae mdate anaingiza hofu, hana pesa, hana maisha fulani so automatic na vile jamii ina waset attractive ladies basi anajiona hana bahati

Ila ladies wenye mvuto ni watu poa sana, ukiweza kufuta insecurity na confidence ikawa juu anakueheshim
Tafuta demu suraa mbayaa ila inye ipo, halafu ndio TUJE KUONGEA.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Back
Top Bottom