Kwanini wanawake wazuri hawaolewi

Kwanini wanawake wazuri hawaolewi

Wanaliwa Sana na wenye Pesa na madingi, mtu anapotaka kufikiria kumwoa anasikia Fulani kapita, Fulani kapita ana kunja mkia
Hii ndio "Logic" kubwa,..........mwanaume anayetaka kuoa 97% anakua amefanya Survey ya hapa na pale,sasa unakuta Binti Kagongwa na watu zaidi ya 3 na wote unawajua,.......labda chizi ndio atamuoa huyo binti
 
Sio kila mwanamke mrembo, maana yake ni mwanamke mzuri.
Uzuri wa mwanamke huanza na tabia kisha urembo wake utauona ndani ya tabia zake njema.
 
Sio kila mwanamke mrembo, maana yake ni mwanamke mzuri.
Uzuri wa mwanamke huanza na tabia kisha urembo wake utauona ndani ya tabia zake njema.
Kuna uzuri wa sura na uzuri wa tabia kwaiyo inategemea upo na mwanamke kwa kuangalia kipaumbele chako ni kipi kati ivyo viwili. Tusi-complicate mambo.
 
Kuna sababu kubwa sana yenye nguvu ya kwanini wanawake wazuri kimuonekano hawaolewi.

Nimeona na kusikia sana kuanzia mtandaoni mpaka mtaani watu wakishangaa mwanamke fulani ni mzuri lakini haolewi.

Wanaume wote waliopita hapo na wakakimbia sio wajinga kama watu wanavyofikiria.

Wameuona moto, wamekiona kifo, wamemuona lusifa mwenyewe, wamekunywa sana azuma, wameona dalili zote za kuishia kuwa masikini wakabwaga manyanga kwa usalama wa afya, akili na uchumi wao.

Most beautful women that attracts a lot of men have strong character issues, they have bad attitude that in the course of time you as a man dating or marrying her will be a victim of her venom.

Uzuri wake usikuzibe macho ya kuona ukweli, ukiona red flag yoyote kanuni ni ile ile, HIT AND RUN
Huwezi kulima miwa jirani na shule
 
Back
Top Bottom