Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Ni wajeuri sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesema kweli mkuu, unajua hata mimi sio muumini wa mambo ya soulmates na true love... naamini ukimuelewa mwenzako unaweza kuishi nae bila kumpenda kuliko ukimpenda wakati haujamuelewa.Mkuu sio kila mwanamke alie olewa alikua ni chaguo la kuolewa la mtu alie muoa ila wanawake wazuri huwa ni watata kuolewa kwanza huwa sio ving'ang'anizi hata ukimuita aje atakuja ila wala hawezi kujiongeza sijui ndo alilie kukaa hapoo hapo ila halipo ndugu ila hawa wengine sasa aisee ile siku ya kwanza amekuja kwako anakusomea ramani akija tena anachek usawa wa uchumi akija mara ya tatu hiyo ndo imetoka hapo unaoa moja kwa moja....
Kile cha kukamulia 😄😀 😀 😀 😀 mkuu mashine ipi sasa
Wanakuwa tayari wamewaachia viliwi luwi. Usije kujifanganya kula hiyo inayoitwa kimasihara, za maboss, wake za watu na Matajiri ukajisifu? Umeungwa kwenye grid😅😅😅😅Na ss tusio na pesa tunakuja kujilia kimasihara baada ya wao kuchoshwa na wenye pesa Kisha kuwatelekeza kusikojulikanaa ..........
Ujumbee huu umfikie mrembo mmoja hv maninaa zake watu wenye pesa wamekula wameshiba now anasema aje yeyote tu tujenge familia na mitatu yake km Chris brown....uzuri una mwisho
Grid Tena Ile namba Moja OG😅😅😅😅Wanakuwa tayari wamewaachia viliwi luwi. Usije kujifanganya kula hiyo inayoitwa kimasihara, za maboss, wake za watu na Matajiri ukajisifu? Umeungwa kwenye grid
Nafikiri kwenye suala la ku-describe uzuri tuna-complicate tu mambo. Mwanamke mzuri anaonekana na mbaya anaonekana tu kwa macho.Umesema wanawake wanaoolewa ni wabaya mkuu, umewatusi kimafumbo.
Mkuu hamna njia/kigezo cha kupima urembo, kila mtu na macho yake.
Kwa mazoea yangu huku bongo watu wengi wanapenda wanawake weupe, wenye makalio makubwa na sura za muonekano wa kihindi flani....
Hiyo ndo conventional beauty huku tz...
Sasa mimi ninaependa wanawake weusi, wembamba wenye macho makubwa nikioa watu si watasema nimeoa bundi?
Lakini mimi mwenyewe kwenye nafsi yangu najua nilichochagua.
Kuna mambo siku hizi yamebadirika sana mkuu hebu fikiria una matazamio ya kuoa ila katika kuchagua sample ya kuoa katika zile ulizozitarget kuna moja sura ya baba inajari sana uwepo wako na hii yenye sura ya mama yake inakuwa nawewe lakini wala haigopi kuachana nawewe, moja kwa moja moyo wako utakimbilia pale ambapo unaamini patakua salamaUmesema kweli mkuu, unajua hata mimi sio muumini wa mambo ya soulmates na true love... naamini ukimuelewa mwenzako unaweza kuishi nae bila kumpenda kuliko ukimpenda wakati haujamuelewa.
Kile cha kukamulia 🤔🤔🤔 nomaa kweli kweloKile cha kukamulia 😄
Mashine tena.! nilifikiri mashine ni uzuri wa mwanaume.Uzuri wa mwanamke mashine
Ni kitu subjective sana mkuu.Nafikiri kwenye suala la ku-describe uzuri tuna-complicate tu mambo. Mwanamke mzuri anaonekana na mbaya anaonekana tu kwa macho.
Wewe ni PUNGUANI,aliyekwambia Pisi aziolewi ni nani?,yaani kwasababu ya kibamia chako unataka kuwabebesha watoto wazuri mzigo na laana ya baba yako?Aliekuambia wanaolewa ni nani au wewe na mashoga wenzako hamjui tofauti ya pisi kali na sura za baba.
Mkuu embu tuwaweke kwenye kinyang'anyiro cha uzuri paula kajala na mwasiti almasi unafikiri nani atapata kura nyingiNi kitu subjective sana mkuu.
Namaanisha hivi;
Hakuna mwanamke atakayeonekana ni mrembo kwa wanaume wote hapa duniani.
Ukiambiwa huna akili unabisha,Sasa hapo suala la Ushoga linatoka wapi,au wewe ni shoga ndo maana ukaona uwazungumzie wenzio?Aliekuambia wanaolewa ni nani au wewe na mashoga wenzako hamjui tofauti ya pisi kali na sura za baba.
You are a fool, you don't deserve my concernWewe ni PUNGUANI,aliyekwambia Pisi aziolewi ni nani?,yaani kwasababu ya kibamia chako unataka kuwabebesha watoto wazuri mzigo na laana ya baba yako?