Kwanini wanawake wazuri hawaolewi

Kwanini wanawake wazuri hawaolewi

Mkuu sio kila mwanamke alie olewa alikua ni chaguo la kuolewa la mtu alie muoa ila wanawake wazuri huwa ni watata kuolewa kwanza huwa sio ving'ang'anizi hata ukimuita aje atakuja ila wala hawezi kujiongeza sijui ndo alilie kukaa hapoo hapo ila halipo ndugu ila hawa wengine sasa aisee ile siku ya kwanza amekuja kwako anakusomea ramani akija tena anachek usawa wa uchumi akija mara ya tatu hiyo ndo imetoka hapo unaoa moja kwa moja....
Umesema kweli mkuu, unajua hata mimi sio muumini wa mambo ya soulmates na true love... naamini ukimuelewa mwenzako unaweza kuishi nae bila kumpenda kuliko ukimpenda wakati haujamuelewa.
 
😅😅😅😅Na ss tusio na pesa tunakuja kujilia kimasihara baada ya wao kuchoshwa na wenye pesa Kisha kuwatelekeza kusikojulikanaa ..........

Ujumbee huu umfikie mrembo mmoja hv maninaa zake watu wenye pesa wamekula wameshiba now anasema aje yeyote tu tujenge familia na mitatu yake km Chris brown....uzuri una mwisho
Wanakuwa tayari wamewaachia viliwi luwi. Usije kujifanganya kula hiyo inayoitwa kimasihara, za maboss, wake za watu na Matajiri ukajisifu? Umeungwa kwenye grid
 
Hichi kichwa cha habari kinasomeka kama kichwa cha nyoka .Nimekaa namtazama mke mara mbili mbili ni kweli nilioa mke mbaya au ni kasumba ya mleta mada.

Wanawake wazuri walitenganishwa na akili kama ilivyo Kwa wanaume mahandsome walivyotenganishwa na Hela.Jeuri Yao ipo kwenye uzuri ila wakisanuka uzuri Hata mbuzi anao tayari jua la jioni.

Mara utawasikia ohoo wanaume wa siku hizi hawaeleki Bora nipate wa kunizalisha nilee mtoto mwenyewe.kumbe wapi !!Hana lolote wakati wake wa kutamba umeshakwisha

Itaeendelea..
 
Umesema wanawake wanaoolewa ni wabaya mkuu, umewatusi kimafumbo.

Mkuu hamna njia/kigezo cha kupima urembo, kila mtu na macho yake.

Kwa mazoea yangu huku bongo watu wengi wanapenda wanawake weupe, wenye makalio makubwa na sura za muonekano wa kihindi flani....
Hiyo ndo conventional beauty huku tz...

Sasa mimi ninaependa wanawake weusi, wembamba wenye macho makubwa nikioa watu si watasema nimeoa bundi?

Lakini mimi mwenyewe kwenye nafsi yangu najua nilichochagua.
Nafikiri kwenye suala la ku-describe uzuri tuna-complicate tu mambo. Mwanamke mzuri anaonekana na mbaya anaonekana tu kwa macho.
 
Umesema kweli mkuu, unajua hata mimi sio muumini wa mambo ya soulmates na true love... naamini ukimuelewa mwenzako unaweza kuishi nae bila kumpenda kuliko ukimpenda wakati haujamuelewa.
Kuna mambo siku hizi yamebadirika sana mkuu hebu fikiria una matazamio ya kuoa ila katika kuchagua sample ya kuoa katika zile ulizozitarget kuna moja sura ya baba inajari sana uwepo wako na hii yenye sura ya mama yake inakuwa nawewe lakini wala haigopi kuachana nawewe, moja kwa moja moyo wako utakimbilia pale ambapo unaamini patakua salama
Hawa wanawake wenye sura nzuri tuwalage tu na kuwazarisha wakitaka ila sio wa kuoa hawa.
 
Aliekuambia wanaolewa ni nani au wewe na mashoga wenzako hamjui tofauti ya pisi kali na sura za baba.
Wewe ni PUNGUANI,aliyekwambia Pisi aziolewi ni nani?,yaani kwasababu ya kibamia chako unataka kuwabebesha watoto wazuri mzigo na laana ya baba yako?
 
Aliekuambia wanaolewa ni nani au wewe na mashoga wenzako hamjui tofauti ya pisi kali na sura za baba.
Ukiambiwa huna akili unabisha,Sasa hapo suala la Ushoga linatoka wapi,au wewe ni shoga ndo maana ukaona uwazungumzie wenzio?

Hapa mada ni "KWANINI WANAWAKE WAZURI HAWAOLEWI"

Mimi Nina mwanamke mzuri nimemuoa,Je,Swali lako bado Lina mashiko?

ACHA MATUSI,JENGA HOJA
 
Back
Top Bottom