Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
- Thread starter
- #81
Watu wana-complicate tu mambo.Mkuu mwanamke mzuri anajulikana kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wana-complicate tu mambo.Mkuu mwanamke mzuri anajulikana kabisa
Hii ndio "Logic" kubwa,..........mwanaume anayetaka kuoa 97% anakua amefanya Survey ya hapa na pale,sasa unakuta Binti Kagongwa na watu zaidi ya 3 na wote unawajua,.......labda chizi ndio atamuoa huyo bintiWanaliwa Sana na wenye Pesa na madingi, mtu anapotaka kufikiria kumwoa anasikia Fulani kapita, Fulani kapita ana kunja mkia
You are pathetic.Now we are talking.
😀😀😀😀 id fake hizi zinasitiri sana watu.kwahyo nawe mzuri?
Hapa sijapaelewa dokta, kama utajali naomba ufafanuzi.Kuna wanawake wanavutia Ila hawana mvuto.
Ebu njoo PM, mie skuogopi mkuu...😋Hakuna lolote mnatuogopa tu
Mnahisi tuna deserve better
Hapa nmepata kizunguzungu kidogoKuna wanawake wanavutia Ila hawana mvuto.
maana sione akili za mtu mzuri pale😀😀😀😀 id fake hizi zinasitiri sana watu.
Hehehe…Tunajua fake id inakusitiri, hakuna mjinga wa kumchota akili kirahisi rahisi tu.
Ndio. Tunaachwa tunaoga tunarudi sokoni tunapata mpya. Tanga kuolewa mara kadhaa sio issue kabisa; bibiangu Binti Abdillahi aliolewa mara 6.Ndoa za nne ukimaanisha unaolewa na kuachwa au?.
Sio kweli'Uzuri' wa mwanamke upo machoni pa mwanaume.
Ninayemuona mimi kuwa ni mzuri, wewe waweza kuona ni takataka.
Uzuri wa sifa ya jumla jumla ni ubaya ubwela.
Ila we jamaakwahyo nawe mzuri?
vp mkuu kuna tatizo😂Ila we jamaa
Kuna uzuri wa sura na uzuri wa tabia kwaiyo inategemea upo na mwanamke kwa kuangalia kipaumbele chako ni kipi kati ivyo viwili. Tusi-complicate mambo.Sio kila mwanamke mrembo, maana yake ni mwanamke mzuri.
Uzuri wa mwanamke huanza na tabia kisha urembo wake utauona ndani ya tabia zake njema.
Huwezi kulima miwa jirani na shuleKuna sababu kubwa sana yenye nguvu ya kwanini wanawake wazuri kimuonekano hawaolewi.
Nimeona na kusikia sana kuanzia mtandaoni mpaka mtaani watu wakishangaa mwanamke fulani ni mzuri lakini haolewi.
Wanaume wote waliopita hapo na wakakimbia sio wajinga kama watu wanavyofikiria.
Wameuona moto, wamekiona kifo, wamemuona lusifa mwenyewe, wamekunywa sana azuma, wameona dalili zote za kuishia kuwa masikini wakabwaga manyanga kwa usalama wa afya, akili na uchumi wao.
Most beautful women that attracts a lot of men have strong character issues, they have bad attitude that in the course of time you as a man dating or marrying her will be a victim of her venom.
Uzuri wake usikuzibe macho ya kuona ukweli, ukiona red flag yoyote kanuni ni ile ile, HIT AND RUN
"Sio kila mwanamke wakila mwanaume"mwanaume anae jiamin ana oa pisi kali.
tatizo kutokujiamin.