Mi mi
JF-Expert Member
- Jul 14, 2024
- 2,748
- 5,112
Hivi ni kwanini jinsia hii ya kike inajiweka mbali sana na mambo yanayoumiza akili ?
Mfano hata fani mbalimbali zenye matumizi makubwa ya akili kuna asilimia ndogo sana ya wanawake katika maeneo hayo ukilinganisha na jinsia ya kiume.
Masuala ya kisiasa kama uchambuzi,ufuatiliaji kitaalam,uongozi n.k kuna kundi dogo sana la wanawake ukilinganisha na wanaume unaweza kufuatilia hata hapa nchini kwetu.
Kujichanganya katika mada zenye kuchangamsha akili kuna kundi dogo sana la wanawake ukilinganisha na wanaume.
Hata katika mitandao ya kijamii, mitandao ile inayojielewa na yenye mada za kutikisa ubongo wanawake ni wachache sana tofauti na wanaume ukilinganisha na mitandao ya kipuuzi wanawake wamejazana huko balaah.
Mfano mwengine mwepesi hata humu tu Jf wanawake kwenye majukwaa ya kutuliza akili ID zao kama hazipo ila kwenye majukwaa yenye stories za kipuuzi puuzi ID zao zipo active.
Hivi shida ni nini ?