Kwanini wanawake wengi hawajishughulishi sana na mambo yanayoumiza akili?

Kuna jamii ya mbwa wanitwa Afghan Hound hao mbwa ni vilaza, warembo na wazuri kimuonekano.

Nafikiri kadiri mwanamke anavyokuwa mrembo na mzuri uwezo wake wa kuishughulisha akili unazidi kupungua.

Ila akili wanazo nyingi tu.
 
Hivi ni kwanini jinsia hii ya kike inajiweka mbali sana na mambo yanayoumiza akili ?

Mfano hata fani mbalimbali zenye matumizi makubwa ya akili kuna asilimia ndogo sana ya wanawake katika maeneo hayo ukilinganisha na jinsia ya kiume.

Masuala ya kisiasa kama uchambuzi,ufuatiliaji kitaalam,uongozi n.k kuna kundi dogo sana la wanawake ukilinganisha na wanaume unaweza kufuatilia hata hapa nchini kwetu.

Kujichanganya katika mada zenye kuchangamsha akili kuna kundi dogo sana la wanawake ukilinganisha na wanaume.

Hata katika mitandao ya kijamii, mitandao ile inayojielewa na yenye mada za kutikisa ubongo wanawake ni wachache sana tofauti na wanaume ukilinganisha na mitandao ya kipuuzi wanawake wamejazana huko balaah.
Hivi shida ni nini ?
Wanawake wana akili sana, ni vile tu mifumo tawala ya dunia iliwatenga toka zamani.
 
Hivi ni kwanini jinsia hii ya kike inajiweka mbali sana na mambo yanayoumiza akili ?

Mfano hata fani mbalimbali zenye matumizi makubwa ya akili kuna asilimia ndogo sana ya wanawake katika maeneo hayo ukilinganisha na jinsia ya kiume.

Masuala ya kisiasa kama uchambuzi,ufuatiliaji kitaalam,uongozi n.k kuna kundi dogo sana la wanawake ukilinganisha na wanaume unaweza kufuatilia hata hapa nchini kwetu.

Kujichanganya katika mada zenye kuchangamsha akili kuna kundi dogo sana la wanawake ukilinganisha na wanaume.

Hata katika mitandao ya kijamii, mitandao ile inayojielewa na yenye mada za kutikisa ubongo wanawake ni wachache sana tofauti na wanaume ukilinganisha na mitandao ya kipuuzi wanawake wamejazana huko balaah.

Mfano mwengine mwepesi hata humu tu Jf wanawake kwenye majukwaa ya kutuliza akili ID zao kama hazipo ila kwenye majukwaa yenye stories za kipuuzi puuzi ID zao zipo active.

Hivi shida ni nini ?
Hiyo ni gender role, wanawake waliumbwa wafuate maelekezo kutoka kwa wanaume na wanaume wakipewa maelekezo na Muumbaji yaani Mungu, ndio maana wanawake wanatakiwa wawe watiifu kwa wanaume na sisi tuwapende kama Mungu anavyotupenda sisi tunavyokuwa watiifu kwake, hivyo wanawake ni subordinate ya wanaume, hata ofisini maongezi ya maexecutive ni tofauti na ya subordinates
SETIC
 
kwasababu ya tamaduni zetu ndio zimerudisha sana wanawake nyuma, ila kwasasa wanawake wanakuja vizuri sana , hata hapa kwetu wapo mpaka Maprofesa wakati wanaume wengine hata form 4 hajafika
 
Hivi ni kwanini jinsia hii ya kike inajiweka mbali sana na mambo yanayoumiza akili ?

Mfano hata fani mbalimbali zenye matumizi makubwa ya akili kuna asilimia ndogo sana ya wanawake katika maeneo hayo ukilinganisha na jinsia ya kiume.

Masuala ya kisiasa kama uchambuzi,ufuatiliaji kitaalam,uongozi n.k kuna kundi dogo sana la wanawake ukilinganisha na wanaume unaweza kufuatilia hata hapa nchini kwetu.

Kujichanganya katika mada zenye kuchangamsha akili kuna kundi dogo sana la wanawake ukilinganisha na wanaume.

Hata katika mitandao ya kijamii, mitandao ile inayojielewa na yenye mada za kutikisa ubongo wanawake ni wachache sana tofauti na wanaume ukilinganisha na mitandao ya kipuuzi wanawake wamejazana huko balaah.

Mfano mwengine mwepesi hata humu tu Jf wanawake kwenye majukwaa ya kutuliza akili ID zao kama hazipo ila kwenye majukwaa yenye stories za kipuuzi puuzi ID zao zipo active.

Hivi shida ni nini ?
Wanawake ni wavivu sana.. Siyo watu wa mavitu magumu kama wanaume.

Mwanamke hata kutembea tu, anatembea kwa kushoia.

Kiukweli dhana ya mwanamke na mwanaume kuwa sawa haiwezekani hata kidogo.
 
Wanawake ni Emotional, wao wako vizuri zaidi kwenye field zinazohusiana na kutumia hisia.
 
Msiumize vichwa na wale wanaojitoa ufahamu kuwa mwanamke ni sawa na mwanamume acheni ujinga.

Kwa mtu yoyote mwenye AKILI TIMAMU kama ada yangu huwa naongea na wenye akili timamu tu🤗, mwanamke kuwa hivyo kupenda mambo soft soft ni jinsi ubongo wake unavyofanya kazi.

Ubongo wa mwanamke na mwanaume ufanyaji kazi wake ni tofauti. Mkasome nimewapa hint🤗

Mwanamke anaendeshwa na HISIA(EMOTIONS) huku mwanaume anatumia MANTIKI(LOGIC) katika kufanya au kufikiri. Hili nalo linachangia katika jinsi ya kupenda na kuyaendea mambo. Hapa napo mkasome mimi nawapa HINT tu!

Mwanaume kamwe hawezi kuwa kama mwanamke na vivyo hivyo mwanamke hawezi kuwa mwanaume.Tumeona dunia imefosi kwa namna tofautitofauti kupingana na asili ila taratibu wanarudi kwenye mstari, NATURE DOESNT LIE!!!

Na kuishi nao kwa akili maana yake " FIKIRIA KAMA MWANAMKE NA KISHA UTENDE KAMA MWANAUME" AU kwa maana nyingine. Mwanaume ili umtawale mwanamke inabidi uwe na uwezo wa kubalance HISIA(EMOTIONS) na MANTIKI(LOGIC).

Bila hivyo ukizidisha logic utamdharau mwanamke na mtagombana na ukizidisha sana emotions mtagombana pia maana atakuona mwanamke mwenzake🤗.

Adios amigos......
 
Back
Top Bottom