Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
![]()
Naona kusingiziana ndio jina la mchezo siku hizi.
Duuuh hicho kikwapa!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
![]()
Naona kusingiziana ndio jina la mchezo siku hizi.
Duuuh hicho kikwapa!!!
Yap, habari sina, najimudu kimaisha, sihitaji maigizo ya ndoa maisha haya, siolewi na sina habari ya kuolewa.
Hizo ni sisababu ndani ya sababu kuu moja, wanawake wameenda shule na wanajiweza kimaisha over.
Aitheeee!!
Kuwa na mume ujinga mtupu na kuwa na pesa kipi heshima??????? kuekeza ngono tu, heshima pesa maisha haya.
Sio kweli eti hamtaki kuolewa sema hujapata the right choice 4u!any decent lady like to be in marriage ajilie dyu dyu kwa heshima na taadhima!!hayo mambo ya eti akitaka dyu dyu ana mtu wake anampa ni uhuni tu!Utafiti anzia kwenye familia yako, jiulize je dada zako, mabinamu, wadogo zako hawajaolewa kama jibu ni ndio basi kunatatizo.
Zaidi ni kwamba mtu kulilia kuolewa ni yeye na kiu yake, usijumlishe kwamba wanawake hawaolewi wakati kuna watu wameoshewa mpendwa pendwa kila siku ndoa zinafungwa,
Pia lazima ufahamu kuna wadada wamejipanga kimaisha na hawana haja ya kuolewa zaidi akitaka dyudyu! Anamtu wake anamdunyua.
Wanawake wa sasa kazi na pesa, dyu!dyu baadae
Wanawake kutoolewa naweza nkasema kunasababishwa na vitu vitatu.
1.Kujisikia kwao na kuringa pasipo na sababu za msingi.Unaweza ukamtokea binti kwa nia njema tu lakini akawa analeta nyodo na maringo.Pia wengine wanakuwa na masharti magumu sana zaidi hata ya waganga,mara uwe na gari aina flani,huwe na hela za kutosha n.k. Wanawake wa dizaini hii huwa wanakosaga watu wakuwa nao maisha kwasababu ya masharti yao ya ajabu ajabu na tamaa.
2.Sababu ya pili naweza nkasema kitenda cha sisi wanaume kupiga na kuacha mara kwa mara kinachangia kwa kiasi fulani.Just imagine msichana ambaye ameshaangukia ktk bad relations mara nyingi,hufikia wakati anakosa imani na kila anayekuja,matokeo yake umri unaenda .
3.Hii sababu ya tatu pia inarudi kwetu tena mens.Wengi tunapenda ule msemo wa Mwana FA kuwa bado tupo tupo kwanza.Just imagine kijana anaamua kutooa mpaka ajipange vizuri kimaisha kwanza,let say kwenye 35 ndio anaamua kuoa,unadhan atamuoa yule waliyekuwa wote chuo??(wa umri wake).Ni kitu ambacho ni nadra sana,hapa atatafutwa mwenye 20's ndio atawekwa ndani.Yule wa 35 je?? Kwa style hii wengi huwa wanakuwa na mawazo sana.
But mimi ningewashauri dada zangu kutatua matatizo yaliyo upande wao mfano kuringa,dharau n.k...alafu yaliyo upande wetu sisi Mwenyezi Mungu atawapigania.
#Analyse
Wanaume wengi hawaoi sijajua tatizo nin
Utafiti anzia kwenye familia yako, jiulize je dada zako, mabinamu, wadogo zako hawajaolewa kama jibu ni ndio basi kunatatizo.
Zaidi ni kwamba mtu kulilia kuolewa ni yeye na kiu yake, usijumlishe kwamba wanawake hawaolewi wakati kuna watu wameoshewa mpendwa pendwa kila siku ndoa zinafungwa,
Pia lazima ufahamu kuna wadada wamejipanga kimaisha na hawana haja ya kuolewa zaidi akitaka dyudyu! Anamtu wake anamdunyua.
Wanawake wa sasa kazi na pesa, dyu!dyu baadae
mmeanza tena haya ni ka sababu hauna wanaume wa kuwaoa
Nakubaliana na ww kabisaa wengi wetu ni wahuni
Wanaume wengi hawaoi sijajua tatizo nin