Kwanini wanawake wengi hawaolewi?

Kwanini wanawake wengi hawaolewi?



Kobe-106.jpg


Naona kusingiziana ndio jina la mchezo siku hizi.

Duuuh hicho kikwapa!!!
 
Yap, habari sina, najimudu kimaisha, sihitaji maigizo ya ndoa maisha haya, siolewi na sina habari ya kuolewa.




Hizo ni sisababu ndani ya sababu kuu moja, wanawake wameenda shule na wanajiweza kimaisha over.



Aitheeee!!

Zomea hilo "yoooooooooooooo"nyoo eti siolewi,siolewi nina kipato,huna lolote,sema huna quality za kuwa mke bora,wanakuchapa na wanasepa,unaringa una kipato vi millioni tatu hivyo na kigari chako cha mkopo eti siolewi,mna fake kila kitu,kuanzia nywele,ngozi,the way you walk,the way you talk,mavazi,mmesahau mambo yenu ya asili,kila kitu fake,hamuwezi kufua eti kucha zitakatika,kila muda kuchart,wewe ni Admin wa magroup matatu ya whatsap yote ya umbea na fashion utakumbuka kumpikia mume wako,mi nikikutana na wewe nakupa laki mbili nachapa na kusepa,wanawake kumbukeni"MWANAMKE KUOLEWA NI BAHATI,ILA MWANAUME KUOA NI MAAMUZI"so lazima mkubali ku-show humbleness and maturity na kamwe hamwezi kushindana na sisi!
 
dyu dyu nd'o nn tena?ni au ni kimarangu ama kweli mna majina
 
Wanaume wakishafikiri hivi tu ..ladies ur in deep shit 😀
 

Attachments

  • 1440130023652.jpg
    1440130023652.jpg
    43.4 KB · Views: 365
Joasi

sababu hawaishi kiuhalisia/ orijino
wengi huigiza maisha
pia dharau
na ndoto za
alinacha


Wengi wana akili ya mademu wa bongo muvi kutaka kuishi maisha ya maigizo, karibia asilimia kubwa ya mademu wa kibongo ni wasanii na hawajitumi, pia hawana mchango wowote ndani ya uhusiano wao ni kuchuna tu. Wewe jiulize, kama mwanamme utataka kuishi na demu wa dizaini ya kibongo muvi?
 
Urahisi wa kufanya ngono....ndio unaopelekea vijana wasione umuhimu wa kuoa
Miaka ya hivi karibuni wanawake wamekuwa wakijirahisi sana......yaani kumpata mwanamke wa kuburudika naye limekuwa ni jambo rahisi sana.......vile vile ugumu wa maisha nao unachangia sana.....
 
Utafiti anzia kwenye familia yako, jiulize je dada zako, mabinamu, wadogo zako hawajaolewa kama jibu ni ndio basi kunatatizo.

Zaidi ni kwamba mtu kulilia kuolewa ni yeye na kiu yake, usijumlishe kwamba wanawake hawaolewi wakati kuna watu wameoshewa mpendwa pendwa kila siku ndoa zinafungwa,

Pia lazima ufahamu kuna wadada wamejipanga kimaisha na hawana haja ya kuolewa zaidi akitaka dyudyu! Anamtu wake anamdunyua.

Wanawake wa sasa kazi na pesa, dyu!dyu baadae
Sio kweli eti hamtaki kuolewa sema hujapata the right choice 4u!any decent lady like to be in marriage ajilie dyu dyu kwa heshima na taadhima!!hayo mambo ya eti akitaka dyu dyu ana mtu wake anampa ni uhuni tu!
 
Sababu Kuu zipo Mbili. Ambazo ni chimbuko au source ya sababu ndogo ndogo nyingi sana. So the Main Reasons are 1) Kiroho (Spiritual) 2) Kimwili (physical) kuna vitu vingi sana vimo humo nkianza kuchambua sitamaliza but for sure those are The Main Reasons.
 
Wanawake kutoolewa naweza nkasema kunasababishwa na vitu vitatu.

1.Kujisikia kwao na kuringa pasipo na sababu za msingi.Unaweza ukamtokea binti kwa nia njema tu lakini akawa analeta nyodo na maringo.Pia wengine wanakuwa na masharti magumu sana zaidi hata ya waganga,mara uwe na gari aina flani,huwe na hela za kutosha n.k. Wanawake wa dizaini hii huwa wanakosaga watu wakuwa nao maisha kwasababu ya masharti yao ya ajabu ajabu na tamaa.

2.Sababu ya pili naweza nkasema kitenda cha sisi wanaume kupiga na kuacha mara kwa mara kinachangia kwa kiasi fulani.Just imagine msichana ambaye ameshaangukia ktk bad relations mara nyingi,hufikia wakati anakosa imani na kila anayekuja,matokeo yake umri unaenda .

3.Hii sababu ya tatu pia inarudi kwetu tena mens.Wengi tunapenda ule msemo wa Mwana FA kuwa bado tupo tupo kwanza.Just imagine kijana anaamua kutooa mpaka ajipange vizuri kimaisha kwanza,let say kwenye 35 ndio anaamua kuoa,unadhan atamuoa yule waliyekuwa wote chuo??(wa umri wake).Ni kitu ambacho ni nadra sana,hapa atatafutwa mwenye 20's ndio atawekwa ndani.Yule wa 35 je?? Kwa style hii wengi huwa wanakuwa na mawazo sana.

But mimi ningewashauri dada zangu kutatua matatizo yaliyo upande wao mfano kuringa,dharau n.k...alafu yaliyo upande wetu sisi Mwenyezi Mungu atawapigania.

#Analyse

inaonyesha una certificate ya mapenzi. waache wapende magari, pesa, outing na waishi kitamthilia sisi tunaoa wanaejua nn maana ya ndoa

by
wanga pesa
 
Utafiti anzia kwenye familia yako, jiulize je dada zako, mabinamu, wadogo zako hawajaolewa kama jibu ni ndio basi kunatatizo.

Zaidi ni kwamba mtu kulilia kuolewa ni yeye na kiu yake, usijumlishe kwamba wanawake hawaolewi wakati kuna watu wameoshewa mpendwa pendwa kila siku ndoa zinafungwa,

Pia lazima ufahamu kuna wadada wamejipanga kimaisha na hawana haja ya kuolewa zaidi akitaka dyudyu! Anamtu wake anamdunyua.

Wanawake wa sasa kazi na pesa, dyu!dyu baadae

wacha wee!😱 sema hakayamungu😱
 
Why buy the cow when you can get the milk for free
 
Back
Top Bottom