Kwanini wanawake wengi hukubali kirahisi kuolewa na wanaume wenye mtoto tayari

Sio kila mtu!
Ni kweli siyo kila mtu ila ni rahisi sana kwa wanawake kusamehe, mwanaume anaweza kuzalisha nje ya ndoa mwanamke akasamehe na akarudia tena kuzalisha mtu mwingine nje ya ndoa na akasamehewa kwa mara nyingine, tofauti na mwanaume, mwanaume akimfumania mwanamke mara moja tu hiyo ndo ticket ya kuachana mazima labda huyo mwanaume asiwe Alpha male ndo anaweza kusamehe ila hata akikusamehe akikufumania kwa mara ya pili hiyo ndo imeisha mazima otherwise kalogwa.
 
Kwa nini mabinti wengi wadogo wanakubali kuingia kuolewa na wanaume wenye mtoto au watoto tayari(single fathers) na kuanza ndoa zao changa wakiwa mama wa kambo katika umri mdogo??
Kikubwa ambacho mwnamke anakifata kwenye ndoa ni security na mwanaume ndie ana-provide security kwaiyo hata kama mwanamke akikuta mwanaume uyo tayari ana mtoto hakuna shida, lakini kwa mwanaume kukuta mwanamke tayari ana mtoto ilo ni tatizo kwa sababu mama ake lazima aambatanane na mwanae anapokuja kuishi kwako ivyo utawajibika kuingia gharama za kulea mtoto ambae sio bao lako.
 
Sio wanawake wote wanaambatana na watoto wao, wengine wanawaacha kwa upande wa baba wa mtoto, wajomba wao, mama zao au bibi zao.
 
Ni kweli siyo kila mtu ila ni rahisi sana kwa wanawake kusamehe, mwanaume anaweza kuzalisha nje ya ndoa mwanamke akasamehe na akarudia tena kuzalisha mtu mwingine nje ya ndoa na akasamehewa kwa mara nyingine, tofauti na mwanaume, mwanaume akimfumania mwanamke mara moja tu hiyo ndo ticket ya kuachana mazima labda huyo mwanaume asiwe Alpha male ndo anaweza kusamehe ila hata akikusamehe akikufumania kwa mara ya pili hiyo ndo imeisha mazima otherwise kalogwa.
Labda huyo mwanamke awe anakutegemea kwa kila kitu ila kama anajiweza wewe zaa zaa tu nje uone unaachwa mchana kweupe.
 
Ukiniacha wewe mwanamke mwenzako anakubali namuoa shida inakuja kwako sasa baada ya kuachana nikiwa nimekuzalisha watoto wawili
 
Pwani ni kawaida sana wanawake wenye watoto kuolewa tena.
 
Naendelea kusoma wanaume walivyo wabinafsi
Eti wao kuzaa kabla ya ndoa ni sawa,ila wanawake kuzaa kabla ya ndoa si sawa.

Kwani si mnazaa na wanawake haohao!
.....

Tukirudi kwenye mada
Wengi wanatafuta unafuu wa maisha,
Wenye kukubali Kwa upendo ni asilimia chache tu.
Wengine wanakubali ili tu naye aolewe,basi afanyaje...
Kiukweli,single father siyo first option Kwa mabinti wengi..inakujaga kuwa option inayofuata,baada ya ile ya kwanza kugonga Mwamba.
.....
All in all mara mia single father unayejua kabisa Toka mwanzo ana mtoto
Kuliko wale vichomi wa kukuletea mtoto kwenye ndoa.
 
Back
Top Bottom