mamamzungu
JF-Expert Member
- Nov 17, 2019
- 2,554
- 4,271
Lucha kwanini wanawake huwa wanadanganyika kiwepesi sana na ni wepesi kusamehe mtu?
Kumbe huwa mnaamini tunadanganyika, mnajidanganya hatudanganyiki tunajuaga ukweli ila tunawaigizia tu labda kama unakutana na wanawake wa low mind but ukikutana na smart girl huwa hadanganyiki ni vile kaamua kujifanya mpumbavu…. We did it for purpose [emoji13][emoji13]