Kwanini wanawake wengi hukubali kirahisi kuolewa na wanaume wenye mtoto tayari

Kwanini wanawake wengi hukubali kirahisi kuolewa na wanaume wenye mtoto tayari

Kwasababu wanawake ni rahisi kudanganyika na kusamehe, unaweza kumzaba mwanamke kofi ukamuomba msamaha akakusamehe baada ya dakika moja ukamzaba tena kofi ukaomba msamaha na akaendelea kusamehe ila siyo kwa mwanaume unaweza ukamzaba kofi moja urafiki ukaishia hapo
Ukamzaba kofii hahhaa nimeipenda hyoo umenena ukweli mtupu mkuu
 
Hao ndio wapo wasio na watoto wengi wadogo ama wasumbufu

Wenye watoto wengi wanajielewa na wanajua majukumu[emoji16]

Ila mwanaume mwenye mtoto ukitaka uenjoy babymama wake awe ameolewa huko halafu amezalishwa watoto wengii hapo hupati mawazo… sasa ukipata hawa wenye babymama ambao still hawana ndoa ni kasheshe[emoji22][emoji22]
 
Ukiniacha wewe mwanamke mwenzako anakubali namuoa shida inakuja kwako sasa baada ya kuachana nikiwa nimekuzalisha watoto wawili
Mpaka anakuacha anakua hajui kuwa umeshamzalisha? Wee endelea na michezo yako kwa mwanamke asie na maisha ila si vinginevyo.
 
Kwa nini mabinti wengi wadogo wanakubali kuingia kuolewa na wanaume wenye mtoto au watoto tayari(single fathers) na kuanza ndoa zao changa wakiwa mama wa kambo katika umri mdogo??
pamoja na kukataa, lkn wao tayari weshatemvea zaidi ya wanaume 100,
 
Labda huyo mwanamke awe anakutegemea kwa kila kitu ila kama anajiweza wewe zaa zaa tu nje uone unaachwa mchana kweupe.
Umemaliza kila kitu!! Mwanamke akiwa tegemezi hadi michepuko ya mumewe ina ujasiri wa kumpigia simu ikamtukana!
 
Kwa nini mabinti wengi wadogo wanakubali kuingia kuolewa na wanaume wenye mtoto au watoto tayari(single fathers) na kuanza ndoa zao changa wakiwa mama wa kambo katika umri mdogo??
sasa wanawake si wanaolewa, na jinsi wanavyopigana vikumbo anakataaje
 
Kwasababu wanawake ni rahisi kudanganyika na kusamehe, unaweza kumzaba mwanamke kofi ukamuomba msamaha akakusamehe baada ya dakika moja ukamzaba tena kofi ukaomba msamaha na akaendelea kusamehe ila siyo kwa mwanaume unaweza ukamzaba kofi moja urafiki ukaishia hapo
Lucha kwanini wanawake huwa wanadanganyika kiwepesi sana na ni wepesi kusamehe mtu?
 
Mpaka anakuacha anakua hajui kuwa umeshamzalisha? Wee endelea na michezo yako kwa mwanamke asie na maisha ila si vinginevyo.
Siyo mimi mi sifanyi huo mchezo ila usishangae mumeo akakufanyia huo mchezo na ukatulia, tena wale wanaojifanya na maisha ndo wakiachika wanaenda kuteswa upya na vibenten hakuna anaeenda kuoa mwanamke aliezalishwa kirahisi, ila Mwanaume ataoa kesho yake Asubuhi.

Mwanamke hataolewa kirahisi kwasababu Wanaume siyo rahisi kudanganyika, ila mwanaume ataoa kirahisi kwasababu wanawake ni wepesi tu.
 
Lucha kwanini wanawake huwa wanadanganyika kiwepesi sana na ni wepesi kusamehe mtu?

Nani kakuambia tunasamehe?? Hatusamei tunaachaga tu mambo yapite ila tunatunza moyoni siku yako ikifika tunatema nyongo na wewe unakuwa hukutegemea… nyie endeleeni kucheat tu mkafikiri huwa tunawasamehe we did it for malengo yakitimia tunakiamshaa [emoji12]
 
Back
Top Bottom