Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Inategemea na familia, kuna familia mwanaume peke yake anahudumia familia, kuna familia wote wawili wanahudumia familia halafu kuna familia mwanamke ndiye anahudumia familia.
Ndiyo nature ilivyo mkuu..Kwa nini?
Ni kweli siyo kila mtu ila ni rahisi sana kwa wanawake kusamehe, mwanaume anaweza kuzalisha nje ya ndoa mwanamke akasamehe na akarudia tena kuzalisha mtu mwingine nje ya ndoa na akasamehewa kwa mara nyingine, tofauti na mwanaume, mwanaume akimfumania mwanamke mara moja tu hiyo ndo ticket ya kuachana mazima labda huyo mwanaume asiwe Alpha male ndo anaweza kusamehe ila hata akikusamehe akikufumania kwa mara ya pili hiyo ndo imeisha mazima otherwise kalogwa.Sio kila mtu!
Kikubwa ambacho mwnamke anakifata kwenye ndoa ni security na mwanaume ndie ana-provide security kwaiyo hata kama mwanamke akikuta mwanaume uyo tayari ana mtoto hakuna shida, lakini kwa mwanaume kukuta mwanamke tayari ana mtoto ilo ni tatizo kwa sababu mama ake lazima aambatanane na mwanae anapokuja kuishi kwako ivyo utawajibika kuingia gharama za kulea mtoto ambae sio bao lako.Kwa nini mabinti wengi wadogo wanakubali kuingia kuolewa na wanaume wenye mtoto au watoto tayari(single fathers) na kuanza ndoa zao changa wakiwa mama wa kambo katika umri mdogo??
Ukikutana na single maza ambaye yuko tayari kuolewa na wewe ila hautamuhudumia mtoto wake utakuwa tayari kumuoa??
Sio wanawake wote wanaambatana na watoto wao, wengine wanawaacha kwa upande wa baba wa mtoto, wajomba wao, mama zao au bibi zao.Kikubwa ambacho mwnamke anakifata kwenye ndoa ni security na mwanaume ndie ana-provide security kwaiyo hata kama mwanamke akikuta mwanaume uyo tayari ana mtoto hakuna shida, lakini kwa mwanaume kukuta mwanamke tayari ana mtoto ilo ni tatizo kwa sababu mama ake lazima aambatanane na mwanae anapokuja kuishi kwako ivyo utawajibika kuingia gharama za kulea mtoto ambae sio bao lako.
Mleta mada sijui ana umri gani? Baba kuwa na watoto kwa mwanamke yeyote sio shida kabisa.Kwani mtu kuwa na mtoto ni kosa? Yaani mimi hata awe nao sita ππhata sio shida zangu nitampenda yeye na watoto wake.
Labda huyo mwanamke awe anakutegemea kwa kila kitu ila kama anajiweza wewe zaa zaa tu nje uone unaachwa mchana kweupe.Ni kweli siyo kila mtu ila ni rahisi sana kwa wanawake kusamehe, mwanaume anaweza kuzalisha nje ya ndoa mwanamke akasamehe na akarudia tena kuzalisha mtu mwingine nje ya ndoa na akasamehewa kwa mara nyingine, tofauti na mwanaume, mwanaume akimfumania mwanamke mara moja tu hiyo ndo ticket ya kuachana mazima labda huyo mwanaume asiwe Alpha male ndo anaweza kusamehe ila hata akikusamehe akikufumania kwa mara ya pili hiyo ndo imeisha mazima otherwise kalogwa.
Ukiniacha wewe mwanamke mwenzako anakubali namuoa shida inakuja kwako sasa baada ya kuachana nikiwa nimekuzalisha watoto wawiliLabda huyo mwanamke awe anakutegemea kwa kila kitu ila kama anajiweza wewe zaa zaa tu nje uone unaachwa mchana kweupe.
Nakuja pm πββοΈKwani mtu kuwa na mtoto ni kosa? Yaani mimi hata awe nao sita ππhata sio shida zangu nitampenda yeye na watoto wake.
ππππNakuja pm πββοΈ