mamamzungu
JF-Expert Member
- Nov 17, 2019
- 2,554
- 4,271
Lucha kwanini wanawake huwa wanadanganyika kiwepesi sana na ni wepesi kusamehe mtu?
Hakuna sababu ila hivyo ndo walivyo, atazalishwa mara ya kwanza na kutelekezwa ila akionewa huruma na akaolewa akiwa kwenye hali hiyo ya usingo mama bado yule mwanaume wa awali aliemtelekeza na mtoto anaweza kurudi na kumrubuni upya na akaendelea kijipigiaLucha kwanini wanawake huwa wanadanganyika kiwepesi sana na ni wepesi kusamehe mtu?
Sita mwanawane?!!Kwani mtu kuwa na mtoto ni kosa? Yaani mimi hata awe nao sita 😂😂hata sio shida zangu nitampenda yeye na watoto wake.
Sio wote!!!Hakuna sababu ila hivyo ndo walivyo, atazalishwa mara ya kwanza na kutelekezwa ila akionewa huruma na akaolewa akiwa kwenye hali hiyo ya usingo mama bado yule mwanaume wa awali aliemtelekeza na mtoto anaweza kurudi na kumrubuni upya na akaendelea kijipigia
Hivyo ndo walivyo.
Kwa nini mabinti wengi wadogo wanakubali kuingia kuolewa na wanaume wenye mtoto au watoto tayari(single fathers) na kuanza ndoa zao changa wakiwa mama wa kambo katika umri mdogo??
Ni kawaida na asili kwa wanawake kuolewa kwa ajili ya unafuu wa maisha yake na wanae atakaowazaa, hili mwanamke yeyote hulitilia maanani, wanawake pia hawapendi sio kazi yao.Naendelea kusoma wanaume walivyo wabinafsi
Eti wao kuzaa kabla ya ndoa ni sawa,ila wanawake kuzaa kabla ya ndoa si sawa.
Kwani si mnazaa na wanawake haohao!
.....
Tukirudi kwenye mada
Wengi wanatafuta unafuu wa maisha,
Wenye kukubali Kwa upendo ni asilimia chache tu.
Wengine wanakubali ili tu naye aolewe,basi afanyaje...
Kiukweli,single father siyo first option Kwa mabinti wengi..inakujaga kuwa option inayofuata,baada ya ile ya kwanza kugonga Mwamba.
.....
All in all mara mia single father unayejua kabisa Toka mwanzo ana mtoto
Kuliko wale vichomi wa kukuletea mtoto kwenye ndoa.
Uhakika wa MaishaKwa nini mabinti wengi wadogo wanakubali kuingia kuolewa na wanaume wenye mtoto au watoto tayari(single fathers) na kuanza ndoa zao changa wakiwa mama wa kambo katika umri mdogo??
Wana uhakika wa mbegu froma malesKwa nini mabinti wengi wadogo wanakubali kuingia kuolewa na wanaume wenye mtoto au watoto tayari(single fathers) na kuanza ndoa zao changa wakiwa mama wa kambo katika umri mdogo??