Kwanini wanawake wengi ni single mothers?

Kwanini wanawake wengi ni single mothers?

Mkulungwa01

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2021
Posts
3,977
Reaction score
5,339
Salaam! Kama ilivyo ada natumai ni wazima wote. Ngoja niende direct kwenye swali, ni kwa nini wasichana wengi siku hizi ni single mothers?

Je, kwa kuwa wanawake wengi hawataki kutoka kimapenzi na wanaume wasio na mbwembwe, majivuno, waongo, masharobaro, wale wa show offs n.k? Nafikiri tunafahamu kuwa wanaume wengi wa hivi ni waongo.

Na je, kwa nini wasichana wengi wakati wakiwa bado 'moto' huwakataa na kuwakejeli hawa wanaume wastaarabu, wapole, wanaojiheshimu n.k, na kuwakubali hao kundi la kwanza, halafu wakishazalishwa huanza kuwasumbua bila huruma na kuwaletea mizigo ya watoto wasio wao ili walelewe?

Je, hii inaweza kuwa sababu?

Nini kifanyike?

Nawasilisha!
 
Kwa sababu ya kufuata sheria na tamaduni za wamarekani. Saudi Arabia Iran na Afghanistan hakuna single mothers. Hata waafrika kabla ya kujifanya wa magharibi hatukuwa na wimbi la single wimbi la single mazas na machangudoa na mashoga. Cha kufanya kurudia sheria za dini na tamaduni za kiafrika, period.
 
Wengi ni single mother kwa sababu ya tabia zao.Unakuta binti tabia zake ni za umalaya na hawezi kutulia na mwanaume mmoja hata mimba ya mtoto aliyenaye hakujua mhusika ni yupi kutokana na tabia zake hivyo ikapelekea akataliwe na mbaya zaidi ni pale akiongeza mtoto wa pili naye akakataliwa,Hiyo ndiyo inakuwa tiketi ya forever single mother [emoji28][emoji28][emoji28]
 
Kuolewa ni kanuni ya kimaisha kuzaa ni majaaliwa ya Mola, Kuzaa ni kanuni ya kibinadamu kuolewa ni majaaliwa ya Mola.

Shukuru Mola wako kwa kila jambo.
 
Sharobaro ndo wengi matall na wenyebaby face, hao wanaume wa hivyo ndo wanawake wanaochipukia huweza kuwaringishia wenzao
Kumbe washkaji wanaelewa ni most wanted hahaaa
 
Wanawake jeuri na vibuli tu vimejaa ndio maana hakuna mtu anataka kuoa au kuishi na type hizo..kinachobaki Ni kuzaa mchezo umeisha anaendelea kupambana na mwanae.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
We mdada ukitaka mambo yako yaende ndivyo sivyo jichanganye kwa hawa mabishoo wa mjini, wengi wao wako irresponsible. Wanaume wa aina hii wengi ni selfish wanajali kupendeza wao tu lkn sio familia zao, yuko radhi amiliki iPhone ya million lkn mtoto hana kiatu kizuri cha shule

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app

Wadada piteni hapa
Mr.Wenger anawausia
 
Back
Top Bottom