Lovelovie
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 12,582
- 26,053
Mwanamke ndio anaeibeba mimba anajua machungu, maumivu na balaa alopitia wakati wa ujauzito, na mambo mengi yanausianishwa na wanaume kukataa mimba na kukataa kumhudumia mtoto ake.......hapo sasa ndo mwanamke anajipa cheo lasmi Cha usingo mama...na kuingia mitaani na kuanza kupambana kwa ajil ya mtoto......Hili idadi ya masingle maza kupungua mitaani kwanza wanaume wajifunze kulea na kukubali mimba za wanawake wanaotinduana nao.......kitu kingine wanawake wajitunze na waseme ukweli kua mimba alobeba ni ya mwanaume yupi........kitu kingine wanaume na wanawake wapunguze tamaa na wajishughulishe kutafuta sarafu!Salaam! Kama ilivyo ada natumai ni wazima wote. Ngoja niende direct kwenye swali, ni kwa nini wasichana wengi siku hizi ni single mothers?
Je, kwa kuwa wanawake wengi hawataki kutoka kimapenzi na wanaume wasio na mbwembwe, majivuno, waongo, masharobaro, wale wa show offs n.k? Nafikiri tunafahamu kuwa wanaume wengi wa hivi ni waongo.
Na je, kwa nini wasichana wengi wakati wakiwa bado 'moto' huwakataa na kuwakejeli hawa wanaume wastaarabu, wapole, wanaojiheshimu n.k, na kuwakubali hao kundi la kwanza, halafu wakishazalishwa huanza kuwasumbua bila huruma na kuwaletea mizigo ya watoto wasio wao ili walelewe?
Je, hii inaweza kuwa sababu?
Nini kifanyike?
Nawasilisha!
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app