Kwanini wanawake wengi ni single mothers?

Wanawake wanapenda starehe sana kwa gharama za wanaume wanaishia kupewa mimba, wengine wana maringo saana ujanani jua likianza kuchwa wanakimbilia kuzaa tu
Mwanamke hajipi hiyo starehe mwenyewe. Wote wana hitaji hilo, na pale wanapokutana wote wasio wawajibikaji na wasio na maadili, basi watoto nje ya ndoa hupatikana.
 
Wanaopanuliwa mapaja unawaacha wapi? Wote ni hamnazo!
 
Mwanamke hajipi hiyo starehe mwenyewe. Wote wana hitaji hilo, na pale wanapokutana wote wasio wawajibikaji na wasio na maadili, basi watoto nje ya ndoa hupatikana.
Ila jukumu linabaki kwa mama maana tamaa zimemponza
 
Wanatekeleza ilani ya chama cha kijani kwa vitendo.

#MaendeleoHayanaChama
 
"Akili mtu wangu".

Maoni yangu ni haya, Kwa duniani Marekani inaongoza kwa single mothers, ila kwa Africa bongo nadhani itakua kwenye namba za mbele mbele kidogo yaani 4-7 hivi.
Sababu kubwa duniani ni talaka, Unyanyasaji, Kuachana na mimba nje ya ndoa.

Ila kwa Tanzania kesi kubwa ni Talaka, mimba nje ya ndoa na kuachana.
Sababu mbili za kwanza ni za kawaida ila. KUACHANA ndio sababu kubwa sana Tanzania. Hatuna unyanyasaji saana.
Na sababu kubwa ya kuachana ni ujeuri wa wanawake wengi, sababu kuwa wanatokea kwenye backgrnd gani, Utajiri, Uswahili, single mother background.
Na wanaume wengi wa Kitanzania ni wapole, na hawapendi dharau.
Ukileta za kuleta anahamisha mapenzi. Na wengi wa wanawake wamefanya fashion maana sikuhizi kuoata 2000, 3000 ni rahisi hivo wanakua wajeuri. Ova.
 
Mbona wanaoongelewa hapa hawaji hata kutia neno na wao,isije ikawa tunawaonea tu,hahah...
 
Na wewe ndo wale wale unajihami asa tukae kimya kwa mantiki ipi!?
 
Marekani pia single mothers ni wengi sana njoo Tanzania asilimia kubwa ya single mothers ni malaya wadangaji omba omba ni tatzo kubwa kwenye group la single mothers 10 nane ni malaya mmoja ni omba omba mmoja anajitegemea.
 
kwa sasa uikutana na kabinti cha miaka 27 tayar kana katoto akifika miaka 30 kelele za kuolewa zinazidi
 
Uhuni umezidi sana, jeuri ya fedha kwa wanawake wenye kipato hawataki kuolewa ila shoo wanataka wazae na wanayemtaka
 
sababu kuu ni mmomonyoko wa maadili tu, tumekua kizazi cha ajabu sana.... watoto wa ajabu wazazi wa ajabu.

yani mtu kubeba mimba nyumbani ni kawaida hata mbele ya wazazi, na utakuta mwenye mimba mwenyewe wala hajulikani wala ni siri ya mbebaji, tunakoelekea sijui pakoje.
 
Tatizo kubwa sikuhizi penzi linapatikana kirahisi Sana.

Zamani ili upate penzi Lazima uwe na uhakika wa ndoa.

Sasa matokeo ya kupena penz Kama njugu bila uhakika wa ndoa ndo kumezaa single mothers wengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…