F35-Bomber
JF-Expert Member
- Mar 18, 2017
- 1,345
- 1,069
Wale huwa hatuoi tunapiga showw tuuNa jichanganye uoe single mother utaelewa show😀😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wale huwa hatuoi tunapiga showw tuuNa jichanganye uoe single mother utaelewa show😀😂
[emoji3][emoji3][emoji3]Na jichanganye uoe single mother utaelewa show[emoji3][emoji23]
😂😂Aah si wanajifanya vichwa ngumu ujuaji kazi iendeleeWale huwa hatuoi tunapiga showw tuu
umeongea ukweli kuhusu future ya jamii zetu na ya taifa in generla. issue ya single mamas; bila kuhusisha data kama uliyo sema, kwa mtazamo wa kawaida tu ninaweza sema inaanzia katika jamii zetu wenyewe.Sina data ambazo zinathibitisha kutoka mamlaka husika lakini kwa tathmini kutoka mitaani tunakoishi, maofisini tunakofanya kazi, makanisani na misikitini hali inaonekana dhahiri shahiri kuwa idadi ya single mothers inakua kwa kasi kubwa sana.
Turudi nyuma kidogo miaka ya 1990 hadi mwanzoni mwa miaka ya 2000 ilikuwa binti akizalia nyumbani akiwa anaishi na wazazi wake au kijana kumzalisha binti wakati kijana huyo akiwa anaishi kwa wazazi wake ilikuwa ni mwiko (taboo). Lakini kwa sasa kuna kitu hakipo sawa. Inaonekana ni jambo la kawaida sana na mpaka limepewa jina la kizungu “Single Mother”
Tujadili pamoja ongezeko hili tatizo ni mmomonyoko wa maadili au ni ukosefu wa wanaume wenye uthubutu wa kuoa? Ama wanaume ni wachache? Au ni fasheni na mfumo mpya wa maisha?
Tufahamu kuwa Familia ndio kiini na chimbuko la Taifa lolote, hofu yangu ni kwamba kama idadi ya familia za single mother zitaendelea kutakuwa na walakini katika Taifa katika miaka kadhaa ijayo, tunaweza kuona ni kitu cha kawaida tu lakini athari zake tutakuja kuziona miaka ijayo.
Karibuni kuchangia mada.
Kwenye maadili ya ndoa wanapwaya Sana sababu wanakuwa wamesharithi zile roho labda tu apate neema tu ya kuyafuta yote ya nyuma.Kwani watoto wa single mothers wana kasoro gani ukilinganisha wale wa wazazi wawili?
Umeeleweka vizur sana [emoji1666][emoji1666]umeongea ukweli kuhusu future ya jamii zetu na ya taifa in generla. issue ya single mamas; bila kuhusisha data kama uliyo sema, kwa mtazamo wa kawaida tu ninaweza sema inaanzia katika jamii zetu wenyewe.
1. inaanzia katika malezi ya zama hizi tulizo nazo, how? Technically Single mama huwa wanaishi kwa kujihami "najilisha, najivalisha" mtoto anae lelewa na single mama hukuwa ktk imani hii na hata yeye atakuwa akiamini kuwa akishakuwa na access ya mbili tatu basi mwanaume sio issue tena kwake, anaweza zaa mtoto na kulea nk. hivyo stream ya single moms inazidi kuongezeka kwasababu hyo.
2. Wanaume nao wanaona vile single mamas wanavyo ishi, ikitokea akawa na mahusiano na mtto wa single mama basi always ataishi kwa tahadhali ya kudhalauliwa, hvyo ataishi akiamini mtoto huyo ana mindset kama ya mama ake, so ni suala la muda tu before hawaja achana. Kwa mentality hii relationships kama hizo huwa hazifiki mbali, tayari anakuwa anaandaliwa single mama mwingine.
3. Wanaume wengi wanapenda kuoa wanawake wenye sifa zenye kufanana na mama zao, angalau kidogo. Wanaume hao hao wamezaliwa 90's. Inamaana mama zao ni old model, mabinti wa leo wana lifestyles nyingine kabisa hawapo katika angle za waoaji...so mahusiano mengi yanakuwa short term, hata ikitokea mimba basi wanaweza kulea tu, ila si kigezo cha kuishi wote.
Naomba nisinukuliwe vibaya tafadhali...usipo elewa ukae tu kimya, ukielewa pia kaa kimya.
Miaka ijayo ipi? Athari zipo dhairi na zinatokana na mahamasisho ya haki sawa bila kuzingatia wajibu wanawake wanajiona wanaume na kutaka kutawakala Kila kitu na bado.Sina data ambazo zinathibitisha kutoka mamlaka husika lakini kwa tathmini kutoka mitaani tunakoishi, maofisini tunakofanya kazi, makanisani na misikitini hali inaonekana dhahiri shahiri kuwa idadi ya single mothers inakua kwa kasi kubwa sana.
Turudi nyuma kidogo miaka ya 1990 hadi mwanzoni mwa miaka ya 2000 ilikuwa binti akizalia nyumbani akiwa anaishi na wazazi wake au kijana kumzalisha binti wakati kijana huyo akiwa anaishi kwa wazazi wake ilikuwa ni mwiko (taboo). Lakini kwa sasa kuna kitu hakipo sawa. Inaonekana ni jambo la kawaida sana na mpaka limepewa jina la kizungu “Single Mother”
Tujadili pamoja ongezeko hili tatizo ni mmomonyoko wa maadili au ni ukosefu wa wanaume wenye uthubutu wa kuoa? Ama wanaume ni wachache? Au ni fasheni na mfumo mpya wa maisha?
Tufahamu kuwa Familia ndio kiini na chimbuko la Taifa lolote, hofu yangu ni kwamba kama idadi ya familia za single mother zitaendelea kutakuwa na walakini katika Taifa katika miaka kadhaa ijayo, tunaweza kuona ni kitu cha kawaida tu lakini athari zake tutakuja kuziona miaka ijayo.
Karibuni kuchangia mada.
Ww utakua mkazi wa Ukraine kama hujui kasoro za watoto wa single mother.Kwani watoto wa single mothers wana kasoro gani ukilinganisha wale wa wazazi wawili?
Afrika n zaid,maana huku tuna mpaka singo maza kibao ambao wako chini ya miaka 18HV Kati ya Africa na ulaya na marekani wapi Kuna masingke mamaz wengi Zaid
Na jichanganye uoe single mother utaelewa show[emoji3][emoji23]
Kasoro nyingi tu kuto kumjua Baba Yake mzazi kuto kuishinae, kutokuwajua Babu na Bibi zake Baba zake wakubwa na wadogo mashangaz zake kutopata nafasi ya kujidai na Baba yake mbele ya watoto wenzake anakuwa hana Baba wakumpokeaKwani watoto wa single mothers wana kasoro gani ukilinganisha wale wa wazazi wawili?
Dunia imekwishaa 😂😂Mtu anakuambia kabisa mi nataka nizae na wewe tu ntalea mwenyewe! Haya mambo sio ya kudiscuss tena Tuishi nayo tu....