Kwanini wanawake wengi ni single mothers?


labda kama ndugu yangu kuna vidonge unakunywa, hawa viumbe wakikutaka hawakukosi kwenye hiyo mambo ya kutegesha lazima uliwe tu....hata wazee wa kuzimwaga nje kuna kipindi tunapigwa roba za miguu tu unajikuta uko ndani mzima mzima..

Usiogope kuzalisha lakini, tumeletwa duniani tuzalishe wewe piga mimba tu, binafsi nina watoto wangu 23 kwa sasa na bado kiumbe kikijipendekeza kinakula mimba tena natafuta sana mbegu ya kichina na kikorea...
 
Yani unajihisi unapendwa sana, ilhali mtu kashasema anachohitaji nimteremko mtu wa kumtunza.. wewe kwanini hutaki kuachana naye???
Dogo, mapenzi si lelemama..
Ukute majamboz ya huyo mwanamke siyo ya kikawaida kawaida!
 
Hivi unajua nguvu ya mchepuko mwenye mtoto wako? Usiombe tena hasa ukiwa na mke na familia. Huyo mtoto atakuwa fimbo ya kukuchapia hasa kama unataka kutunza siri.

hii huwa inasumbua sana hasa kwa watu wastaarabu na wapole, kuna wakati inabidi uwe mkorofi kumdhibiti ila ukilegea aisee hakuna rangi utaacha kuona, na usipokuwa makini unaweza hata kuharibu mfumo wa maisha.
 
hahahaha unashangaa ndugu.....bado natafuta kiumbe kimoja humu JF ambaye chakalamuchakalamu naye anipe wawili kwa heshima ya Mello wa JF...
😂😂
Utashindana na yule Masai wa tanzanite, Saniniu Laizer, maana naskia anamiliki umati wa watoto😊
 
Jeuri,
Kiburi
Majivuno
Kujiskia ovyo
Kujiona yeye ni mkamilifu
Kutanguliza pesa hasa baada ya kupata mimba
Kumfanya mwanaume kitega uchumi
Mafundisho na malezi manovu

#Hizo ni baadhi ya sababu kuntu za kuachwa na kuwa single mom#
 
So true
 
Akaenda mbali zaidi anasema nikimuacha kabla ya kumpata mwanaume mwingine anakuja nyumbani kwangu kufanya fujo.
Umri huu unaogopa kufanyiwa fujo na mwanamke!?

Mwambie aje ili akutane na kitu kizito kichwani cha mama watoto hapo home.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…