Kwanini wanawake wengi ni single mothers?

Kwanini wanawake wengi ni single mothers?

Unachipotia ni sawa na nnachopitia Mimi.

Mchepuko Wangu niko nae mwaka wa 3 Sasa.

Binafsi siko tayari kuzaa nae na kwa Sasa mpaka changamoto zake za kitabia zitakaporekebika.

Nina Watoto 3 , yeye Hana hata mmoja.

Anataka kabla hajafikisha 30 awe keshapata mtoto.


Ila chenga nnazompiga kuhusu kuzaa nae
Hata yeye mwenyewe haelewi hili picha nalichezaje.

Kategesha Sana ila mimba hapati ng'oo.
Afu mimi Ndio wa kwanza kumlaumu kwanini hataki kunizalia. Basi ananung'unika anataka mpaka kwenda hospitali kupima.[emoji4]

Cc: Joannah Interlacustrine E

labda kama ndugu yangu kuna vidonge unakunywa, hawa viumbe wakikutaka hawakukosi kwenye hiyo mambo ya kutegesha lazima uliwe tu....hata wazee wa kuzimwaga nje kuna kipindi tunapigwa roba za miguu tu unajikuta uko ndani mzima mzima..

Usiogope kuzalisha lakini, tumeletwa duniani tuzalishe wewe piga mimba tu, binafsi nina watoto wangu 23 kwa sasa na bado kiumbe kikijipendekeza kinakula mimba tena natafuta sana mbegu ya kichina na kikorea...
 
Yani unajihisi unapendwa sana, ilhali mtu kashasema anachohitaji nimteremko mtu wa kumtunza.. wewe kwanini hutaki kuachana naye???
Dogo, mapenzi si lelemama..
Ukute majamboz ya huyo mwanamke siyo ya kikawaida kawaida!
 
Hivi unajua nguvu ya mchepuko mwenye mtoto wako? Usiombe tena hasa ukiwa na mke na familia. Huyo mtoto atakuwa fimbo ya kukuchapia hasa kama unataka kutunza siri.

hii huwa inasumbua sana hasa kwa watu wastaarabu na wapole, kuna wakati inabidi uwe mkorofi kumdhibiti ila ukilegea aisee hakuna rangi utaacha kuona, na usipokuwa makini unaweza hata kuharibu mfumo wa maisha.
 
hahahaha unashangaa ndugu.....bado natafuta kiumbe kimoja humu JF ambaye chakalamuchakalamu naye anipe wawili kwa heshima ya Mello wa JF...
😂😂
Utashindana na yule Masai wa tanzanite, Saniniu Laizer, maana naskia anamiliki umati wa watoto😊
 
Jeuri,
Kiburi
Majivuno
Kujiskia ovyo
Kujiona yeye ni mkamilifu
Kutanguliza pesa hasa baada ya kupata mimba
Kumfanya mwanaume kitega uchumi
Mafundisho na malezi manovu

#Hizo ni baadhi ya sababu kuntu za kuachwa na kuwa single mom#
 
Akaenda mbali zaidi anasema nikimuacha kabla ya kumpata mwanaume mwingine anakuja nyumbani kwangu kufanya fujo.
Umri huu unaogopa kufanyiwa fujo na mwanamke!?

Mwambie aje ili akutane na kitu kizito kichwani cha mama watoto hapo home.
 
Back
Top Bottom