Kwanini wanawake wengi ni single mothers?

Mwanamke ndio anaeibeba mimba anajua machungu, maumivu na balaa alopitia wakati wa ujauzito, na mambo mengi yanausianishwa na wanaume kukataa mimba na kukataa kumhudumia mtoto ake.......hapo sasa ndo mwanamke anajipa cheo lasmi Cha usingo mama...na kuingia mitaani na kuanza kupambana kwa ajil ya mtoto......Hili idadi ya masingle maza kupungua mitaani kwanza wanaume wajifunze kulea na kukubali mimba za wanawake wanaotinduana nao.......kitu kingine wanawake wajitunze na waseme ukweli kua mimba alobeba ni ya mwanaume yupi........kitu kingine wanaume na wanawake wapunguze tamaa na wajishughulishe kutafuta sarafu!

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Kikubwa ni watu waache uzinzi.
Ila msijali mzungu kashapata kidonge kwa ajili ya wwanaume kumeza ili wasiwatie mimba wanawake....sasa ni mnyamduano kwa kwenda mbele....tunamwaga tuu ndani
 
Kikubwa ni watu waache uzinzi.
Ila msijali mzungu kashapata kidonge kwa ajili ya wwanaume kumeza ili wasiwatie mimba wanawake....sasa ni mnyamduano kwa kwenda mbele....tunamwaga tuu ndani
[emoji28]Mhhhh tena hyo ni njema sana......sema sishauri sana kutumia vidonge vya kwa ajil ya kuzuia wasitubebeshe......sana nashauri muwe mnamwaga tu nje au we unasemaje bwana shemeji

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
[emoji28]Mhhhh tena hyo ni njema sana......sema sishauri sana kutumia vidonge vya kwa ajil ya kuzuia wasitubebeshe......sana nashauri muwe mnamwaga tu nje au we unasemaje bwana shemeji

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Kumwaga nje hakuma raha kwa mwanaume na mwanamke....utamu wa tendo upungua kwa 30%....kwani u adhani nyie wananwake mnakubaligi kavu kwa sababu gani....mnaenjoy zaidi kidume akikojolea kuta za mbususu.
 
Ooh haya sawa kama ni hvo basi Kuna ulazima sana wa kutumia hzo dawa za kuzuia.....sema KUENI MAKINI na hzo madawa[emoji28][emoji28]

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Ooh haya sawa kama ni hvo basi Kuna ulazima sana wa kutumia hzo dawa za kuzuia.....sema KUENI MAKINI na hzo madawa[emoji28][emoji28]

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Mbona kila leo kwa hospital tunatumia dawa zao...hii tunameza tuu ili tupate burudani pendwa ya kukojolea mbususu
 
Mbona kila leo kwa hospital tunatumia dawa zao...hii tunameza tuu ili tupate burudani pendwa ya kukojolea mbususu
Oooh kweli lkn madhara yake si yatakua sio tofauti sana na madhara ya dawa ya kuzuia mimba kwa wanawake au hyo inakaaje mkuu?!

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Oooh kweli lkn madhara yake si yatakua sio tofauti sana na madhara ya dawa ya kuzuia mimba kwa wanawake au hyo inakaaje mkuu?!

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Hamna dawa isyokuwa na madhara cha msingi tunaangalia madhara kwa kiasi gani.....mie bwana hiyo ikiingia mtaani naweka box zima ndani ili nigegede vizuri kwa kumwagia ndani
 
Wanawake wengi wanatafuta siku hizi, sio kama zamani, weng sio tegemezi ka zamani. Ndoa/ mahusiano yalizingua, rahisi kuachana nao. Wanasema usiwe kwenye ndoa/ mahusiano kufwata mapenzi tuu, lazima kuwe na vitu vingine, urafiki hobbies biashara hela nk
 
Yani mwanamke hadi anafika hatua ya kukwambia eti atafute mtu wa dating kwenye mitandao na wewe upo tu unatumbua macho kumsikikiza utumbo huo, be a man. Na yeye ameshakupima akaona kichwani mwako yaliyomo yamo.
 
Asante naomba kulijibu swali Hilo Kama ifuatavo wasichana wengi wanakosa misimamo kutokana na kipato Cha mwanaume MSICHANA anaweza kuwa na mwanaume ambaye Ni mtulivu kabisa na mwelewa pale anapokutana na mwanaume mwenye vishawishi zaidi asipokuwa na msimamo anabadilisha mawazo nakupelekea sehemu ambayo anafikili anaweza kupata kila kitu bila kujua Nia ya mtu huyo baada yakumzalisha anamuacha nakubaki kukumbuka aliyemuona anafaa hivo basi anakuwa kashachelewa
Katika swali lako linguine wasichana wakiwa katika umri Fulani wanapenda Mambo ya Raha zaidi kutoka out,kuvaa vitu vile vzr sio Mambo ya future kutokana na Hilo lazima akubaliane na mwenye tabia izo. Matumaini utakuwa umepata kitu Asante
 
Wanawake wengi 75% wana tabia chafu, mdomo mchafu, uvivu, ujuaji, uchafu nk. Hawaoleweki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…