Kwanini wanawake wengi ni single mothers?

Kata mirija yote ya kuhudumia kaa mwezi mmoja tu bila kumpigia wala kutumia msg wala kwenda kwake, atakutafuta mwenyewe atakwambia nilikuwa natania tu. Usimwoneshe huwezi kuishi bila yeye la sivyo atakutesa sana. Ila pia kama anataka mtoto mpe kwani tatizo lipo wapi, kama unaweza kuwahudumia hao wawili pamoja na familia yako Kuu iweje uwaze kuhudumia katoto kamoja tena damu yako. Ukiamua kula haramu chagua iliyonona.
 
Mwache mara mmoja, usizae nae, utacomplicate maisha. Kama anataka kuja kwa mkeo sasa, je akizaa, si ndio atakuwa ana kutisha kila siku kuja kwa mkeo!?? Yeye mwenyewe hawezi kijihudumia na anataka kuongeza mtoto? Hajielewi
 
Mkuu hiyo ni alert nyekundu, ukiona anawaka hivyo bado ajapata mtoto utambue kuwa ukimzalisha atataka na sehemu ya mali yako kabda ujafa, zinduka anakupeleka pabaya wewe na familia yako, inaenda kuingia kwenye migogoro, sasa fanya hivi siku jifanye mpole chukua simu yake futa picha zako kama uliwai kupiga nae, futa sms, ingia kwa email yake futa google drive yake yote, futa kila ushaidi unaohisi utakutia matatani kisha tafuta rikizo job safiri mkoani, ukifika huko unamchunia mwezi mzima, ukirudi unaendelea na maisha na mke wako , usimjibu sms wala usipokee call yake, kisha muone kama atapata hizo nguvu za kuja kwako kufanya fujo, hiyo ndo imetoka ndo dawa ya wanawake ving'ang'anizi.
 

Kati ya wewe na huyo mwanamke unafikiri nani mwenye matatizo!?

Mithali 6:32 "Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake."

Kama roho inakuuma muoe kama imani haikuruhusu basi mwache aende bila kulalamika
 

Asante mkuu, hii imekaa vizuri
 
Asante mkuu, hii imekaa vizuri
Na kwa kuongezea mkuu ni kwamba ukiona tu notifications ya sms, unafuta kabda ujasoma sije akakutumia sms ekakuteka emotional ukajikuta unajibu iwe kwa huruma au kwa hasira, yaani ni mwendo wa kudelete tu, usithubutu kusoma wala kujua anaongelea nini... Ni ngumu mwanzon ila baadae inakuwa kama unacheza game, ... One notification ,next delete.. Imeisha hiyo
 
Mmmmh, Wewe ni noma sana.
 
Wanawake wengi sasa hawana akili ni wajinga mno,

Zisingekuwa nyege hakika nisingethubutu hata kuwagusa

Wanawake wa hv ndo wanatufanya tuone kuwa ni heri kununua malaya
 
Dah Hapo kwenye Crest umeua mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…