ndo kinachowaponza hiki, mnajifanya mnajua democrasia hadi kwenye upuuzi. Mwajifanya mwajua kumbe mwaungua Jua
Kwa nin umpige Muraa??? Mtatuulia warembo wetu kwa hzo hukumu zenu za vipigo. Kwaniii, ukigaili na kumueleza unachoamini wew, tabu iko wapi??? Yey amekwambia kwa nn hutaki kuingia hukoo??? Mim napenda....ushaelewa, ukisema mm cpendi na ctaki huko atakupiga??? Unapenda awe yf material...kwani uliambiwa ukimchukua mwengne kuwa yf material utakufa???
Kwa kuwa mwanamke hajaonesha vita kwakooo, napinga moja kwa zoote vita yako kwake. Neno lako tu linatosha kubadili uelekeo. NACHUKIA SANA DUME LINALOPIGA MWANAMKE (kiumbe dhaifu lakn ni faraja ya mwanaume). Hakika nikikubamba unamdungua makofi, haijalishi ukoje/unafananaje! I shall stop you....nanunua kesi. PIGA MIM KIDUME....kama unayo sababu. Kama huna sababu ya kunipiga, nitakutengua kiuno aysee! NINA MORALI MNO.
PIGA Mwizi, kibaka, jambazi au piga anayepiga mwenzake kama wew ilhali huna haki ya kupiga. Ukimpiga mwanamke...inanijia taswira ya mama yangu/dada yangu, xo...naumia. UPENDO PEKEE UTALETA AMANI. Wapende wanawake kwa kadri ulivojaaliwa. Cheza nao kwa kadri unavoona inafaa. WAPE FURAHA YAO...NAO WATAKUPA FURAHA YAKO. Waongoze vema....DON'T HARM EM.
HIZI NDO FIKRA ZANGU...na kamwe hazibadiliki. Naziamini fikra hizi. Ukifanya vita na shori mbele yangu...nanunua kesi, na she naondoka naye, nitakwenda kum'bwaga polis post. Nitafanya yangu pale afu nitamtangazia uhuru...aishi bila hofu...maana nitamlisha elimu. Ni elimu pekee iletayo mabadiliko ya kweli na ya kudumu kupitia BONGO LAKO.
Mkuu Kilambilambila, sina ugomvi na wew, ni mgongano tu wa kifkra baina yangu mm na wew, hakuna kutoana uvimbe wala damu kumwagika. Tuko pamoja sana. MM NI MDEMOCRATIC MAN. Peace & Lov.