Mzukulu
JF-Expert Member
- Feb 14, 2020
- 1,401
- 2,643
Kila Mwanamke utakayekutana naye tu ukimuuliza kapanga wapi atakumbia sehemu fulani lakini ni lazima atasema anaishi na Mwenzake.
Kumetokea nini kwani mbona huko nyuma Wanawake wengi wa Dar walikuwa wanaishi peke yao tu? Na kwanini pia Wadada (Wanawake) wengi wa Mkoani Dar es Salaam Siku hizi wana nidhamu, hawaringi na hawana hata chembe ya Dharau kwa Wanaume kama ilivyokuwa Kipindi cha kati ya mwaka 2005 hadi mwaka 2015?