Kwanini Wanawake wengi wa Dar es Salaam siku hizi wanapenda kuishi Kikolabo?

Kwanini Wanawake wengi wa Dar es Salaam siku hizi wanapenda kuishi Kikolabo?

Dunia nzima iko hvyo sio dar tu
Wanasema ukipata mwenzio mkaelewana basi mfanye maisha kwamba ,
marriage is just a piece of paper
Na nahisi ni kwa sababu waoaji hawataki kuoa pia ndio maana karibu tuishi ni nyingi
Umemuelewa?Wafanye maisha wadada wawili?
 
Watu mnaojifunza Uhuni Ukubwani huwa mna taabu mno wakati wengine tulikuwa Masela hasa ila sasa tumeshastaarabika!!!
🤣,Mkuu tulale povu jingi jf hatuonani Ni sawa na kupiga ngumi usingizini kwenye ndoto,yaishe
 
Ulivyo Mpumbavu muda huu huu umetoka kunitumia PM kuniomba Radhi na Yaishe halafu huku unaendeleza tu Ujuha wako.
Nilihisi labda Ni Kennedy Trump,nikasema mbona shobo Kama ndiye vile,wadudu wabaya achaaaaa kijana watakuharibu kichwa,nililinda taswira ya jf usione kila mtu aliyevaa suti Safi ukajua zinamtosha,wengine tunaishi Kama sikukuu zinazotegemea mwandamo wa mwezi,ukitoka tu sikukuu,usione umeshinda Bali sitaki ban tena
 
Pathetic.
 
Regend ndiyo Kiingereza cha wapi hiki Ndugu? Kwani ukisema tu kwa Kiswahili Yeye ni Mkongwe hatutajua kuwa Umeelimika?
Acha u Kennedy Trump hasira Kama sifulia la dawa za kujifukiza korona zimemwagika,jf Ni stress free zone,
 
Back
Top Bottom