Kwanini Wanawake wengi wa Dar es Salaam siku hizi wanapenda kuishi Kikolabo?

Kwanini Wanawake wengi wa Dar es Salaam siku hizi wanapenda kuishi Kikolabo?

Ukikatazwa sikia unaona matokeo yake hasira umefuraaaa,angalia vijana wenzako wa mitaani walivo free,umebaki kurudia tusi moja Kama senga anavowaambiaga wasanii wenzake,Bangladesh,colon,onana na psychologist,acha tamaa ya vitu vidogovidogo piga kaxi au umerushwa leo,umetoka tatu bila🤣🤣🤣
 
Kumbe kweli unahtaji psychological treatment na inaonekana ni tatizo la muda mrefu hasira hasira,duhhh amesafiri nn,ukizoea fya kumeza tu kitafuna huwezi,inaonekana unateseka sana Tena sana,comment zako zote za jf umefuraaaa mjinga,mpumbavu ukitaja hayo maneno ndo kidogo unapata ahueni,au kaja amekurusha leo 🤣🤣🤣
 
Wewe Akili yako ingekuwa imekaa sawa ungepoteza muda wako wote huu Kujibizana na Mimi ambaye Akili hazijanikaa sawa?
Yesu mwenyewe alishughulikia kondoo waliopotea,je uliona wapi mwalimu anafundisha mwerevu siku zote mwalimu huhitaji mtu mjinga,wachungaji huhitaji watu wenye mapepo wayakemee katika jina la yesu yaweze kutoka ili mtu arudi kwenye mstari,wanasema ukitaka kugombana na .......?muelimishe,
 
Et wadada wa dsm mnaishi
Na wanawake wenzenu

stidy
 
Watu mnaojifunza Uhuni Ukubwani huwa mna taabu mno wakati wengine tulikuwa Masela hasa ila sasa tumeshastaarabika!!!
Lugha unayoongea Ni kavu mno,stupid Ni neno kavu badala yake ungesema sorry ur appreciation level is diminishing,but nimejua naongea na mtu ambaye uelewa wake upoje,huna level ya kukaa meza moja nami kwa majadiliano,upo chini mno,Mimi Ni national and international level-i start moving where others ended-ndio kauli mbiu yangu
 
Back
Top Bottom