Lil Wayne-she she lick it like a lollipopShe said she want a collabo, 🎵🎶
Mbona Kama unasukumwa kwa mbele usiku huu,Kama cokroach deathWanawake wa Dar mnaitwa huku..
Wewe legend kweli toka 2007,shikamooWanawake wa Dar mnaitwa huku..
Cha kikurya-hatunaga LRegend ndiyo Kiingereza cha wapi hiki Ndugu? Kwani ukisema tu kwa Kiswahili Yeye ni Mkongwe hatutajua kuwa Umesoma?
Shule kufungwa kwa korona Basi mnasumbua na vi dictionary vyenu🤣🤣Regend ndiyo Kiingereza cha wapi hiki Ndugu? Kwani ukisema tu kwa Kiswahili Yeye ni Mkongwe hatutajua kuwa Umesoma?
Mzukulu jilala-nigagwaMatusi au Lugha zisizo na Staha kama hizi sizihitaji katika huu Uzi wangu tafadhali sawa? Tafuta threads za Wahuni Wenzio tu.
Mtaalam waa lugha-nini tofauti ya mpumbavu na mjingaKwahiyo unaubariki Upumbavu huu kwa Kigezo cha Kabila Ndugu? Ungekuwa Muungwana ungekubali tu kuwa Umechapia basi!
Naona una urafiki na Kennedy Trump-akili ako haijakaa sawaBora Sisi Shule zimefungwa kwa ajili ya CORONA ila Mwenzetu Wewe Kirusi cha CORONA kimekufanya umekuwa Juha mno.
We mkoa gani upo?Ngoja wanawake wa dar waje