Kwanini wanawake wengi wa kizazi cha sasa hawaolewi?

Kwanini wanawake wengi wa kizazi cha sasa hawaolewi?

Feminist ambao ndoa zimewashinda ndo wamekuwa role model wa dada zetu hivyo kutumia harakati za kudai haki kuharibu akili na misimamo ya wengine kwa kuwaaminisha kuwa ndoa sio kitu muhimu, ila wengi wakifika age ya 35.......ndo huja kutambua nini maana ya ndoa ila wa miaka 18...….25 hawaelewi.
 
Thanks mate for a nice reply.
 
Hello WanaJf

Bibi: Bibi yangu Rukia kuna siku aliniuliza Mjukuu wangu unajua kwa nini wanawake wengi wa kizazi cha sasa hawaolewi?

Mimi: Hapana Bibi

Bibi: Hii ndiyo sababu mjukuu wangu "Kuonja onja umeshashiba".

Mimi: Inamaana gani bibi?

Bibi: Nikimaanisha kwamba mambo yanayopatikana kwenye ndoa wanaume wa kizazi cha sasa wanayapata kabla ya kwenye ndoa . Kama vile kufuliwa, kupikiwa na mambo mengine ya ndani ya ndoa, huku mkiwa bado hamjafunga pingu za maisha. Hii inapelekea kwa kiasi kikubwa kupoteza hamu ya ndoa na zana nzima ya ndoa kati ya wahusika hao wawili na kusababisha kushiba kwa wanaume kunakotokana na kuonja onja na kupelekea kushiba.

HUU NI MTAZAMO WA BIBI YANGU, JE WEWE UNAMTAZAMO GANI KUHUSIANA NA HILI?
We wasema
 
Feminist ambao ndoa zimewashinda ndo wamekuwa role model wa dada zetu hivyo kutumia harakati za kudai haki kuharibu akili na misimamo ya wengine kwa kuwaaminisha kuwa ndoa sio kitu muhimu, ila wengi wakifika age ya 35.......ndo huja kutambua nini maana ya ndoa ila wa miaka 18...….25 hawaelewi.
Umenena vyema
 
Points ni zile zile

1.Hawaolewi kwasababu wanaume hawataki majukumu ya ndoa
2.Uhaba wa wanaume huku jinsia ya kiume na wavulana kuwa nyingi
3.Kujirahisisha na uhuni wa wanawake ambao unapelekea kuogopesha waowaji
4.Uhuni wa wanaume unaopelekea kupenda kuchovya chovya kuliko kuamua kutulia na ndoa

5.Kutishana,waliopo ndoani wanatisha sana ambao bado hawajaingia ndoani...usaliti

Nimesahau udomo zege....teh!
Kama kuna ukweli vile .......
 
Back
Top Bottom