mzungumini
Member
- Mar 14, 2019
- 25
- 28
Wanyakiusa wanafaa sana kuoaWala sio strong point,ni kwamba, wanawake siku hizi,ni wajuaji sana,na hizi seminar zenu na elimu mnayopata ndiyo vinawapa kiburi! Mnatukoromea,wakati mwanaume hizo mambo hazipo,mnataka 50 kwa 50 kwenye maamuzi,but when comes to responsibility,nasimama alone! That why tunakufa mapema!
Tunapoelekea ni kubaya zaidi tunatoka kwenye Bad tunaelekea kwenye Worse.Wala sio strong point,ni kwamba, wanawake siku hizi,ni wajuaji sana,na hizi seminar zenu na elimu mnayopata ndiyo vinawapa kiburi! Mnatukoromea,wakati mwanaume hizo mambo hazipo,mnataka 50 kwa 50 kwenye maamuzi,but when comes to responsibility,nasimama alone! That why tunakufa mapema!
Kipi watakioffer ambacho wanawake wengine hawana?Wanyakiusa wanafaa sana kuoa
Upendo utatoka wapi kwa style iyo ya familia.Sana,ndiyo maana unakuta mwanaume,ana watoto 6,kila mtoto na Mama yake
Kwaiyo mnalipiza?Ha ha haaa,kama muwasemavyo single mothers
Kwa nini mkuu?Siowii...period
Wanawake pasua kichwa,nitakufa siku c zanguKwa nini mkuu?
Yatupasa tuishi nao kwa akili.Wanawake pasua kichwa,nitakufa siku c zangu
Ni heri usirudi tu.ntarudi
Walikuwa wa zamani,hawa tulionao ni kuiga lifestlye plus utandawazi hadi chakula kinaandaliwa instagram bac nikaona inatosha tu,hakuna kujisumbuaYatupasa tuishi nao kwa akili.
😂😂Walikuwa wa zamani,hawa tulionao ni kuiga lifestlye plus utandawazi hadi chakula kinaandaliwa instagram bac nikaona inatosha tu,hakuna kujisumbua
Hahaha dah.Walikuwa wa zamani,hawa tulionao ni kuiga lifestlye plus utandawazi hadi chakula kinaandaliwa instagram bac nikaona inatosha tu,hakuna kujisumbua
No 2 ungedadavua vema dea, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Points ni zile zile
1.Hawaolewi kwasababu wanaume hawataki majukumu ya ndoa
2.Uhaba wa wanaume huku jinsia ya kiume na wavulana kuwa nyingi
3.Kujirahisisha na uhuni wa wanawake ambao unapelekea kuogopesha waowaji
4.Uhuni wa wanaume unaopelekea kupenda kuchovya chovya kuliko kuamua kutulia na ndoa
5.Kutishana,waliopo ndoani wanatisha sana ambao bado hawajaingia ndoani...usaliti
Nimesahau udomo zege....teh!
Mada inahusu wanawake kutoolewa, lawama zinaenda kwa mashoga, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hawaolewi sababu karibu 90% wanaume wa sasa wamekimbilia udada.(mashoga)
Case closed.Wanawake hawaolewi kwasababu wanaume hawaoi.