- Thread starter
- #21
Hapana wote walikuwa darHii nondo nzuri........kupitia experience hii kuna weng watapona.......swali la kizushi huyo demu alikuwa anafanya kazi mkoa mwingine na bro wako kipindi hiko anadengua???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana wote walikuwa darHii nondo nzuri........kupitia experience hii kuna weng watapona.......swali la kizushi huyo demu alikuwa anafanya kazi mkoa mwingine na bro wako kipindi hiko anadengua???
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ni kweli tunatambua hilo. Ni tabia na haijawahi kubadilika miaka na miaka. Chitini kwa amani ya bwana.
Swali la kizushi We umewahi kumuacha mpenzi wako kwasababu ya kuchiti?Ni kweli tunatambua hilo. Ni tabia na haijawahi kubadilika miaka na miaka. Chitini kwa amani ya bwana.
Daah mbona ni hatareHapana wote walikuwa dar
Hapana.Swali la kizushi We umewahi kumuacha mpenzi wako kwasababu ya kuchiti?
Nimeipenda hiiHapana.
Siwezi kuwa mnafiki maana hata na yeye anachitiwa.
Sawa super woman mbona tunAkwelewa huna mbambambaHapana.
Siwezi kuwa mnafiki maana hata na yeye anachitiwa.
Aiseeh [emoji2][emoji2]Hapana.
Siwezi kuwa mnafiki maana hata na yeye anachitiwa.
Yaani three months.....mnakuwa hamuongei kabisa au unasubiri yeye aanzishe convoYaani Mimi mademu wananiambiaga sipo Romantic mara Niko busy ila hawaishi kunitafuta , na wakija nawacare vibaya mnoo,....ila sibembelezi sana ,ukinidengulia Huwa nakupima sikutafuti for a maximum of three months net! baada ya hapo hata uwe nani na hata ufanye nini ukinitafuta hatutarudiana....hiyo inakuwa imeenda[emoji23]
Namaanisha akiniletea habara za kunidengulia kama za mtoa mada hapo juu....kujifanya mambo mengi , nakuacha kwana kwa muda huo usipo nitafuta ndo inakuwa imetoka hiyoYaani three months.....mnakuwa hamuongei kabisa au unasubiri yeye aanzishe convo
Then unapoteza sana pesa zako ili kuwaonyesha wanawake haujali kumbe unajali indirectly.Yaani Mimi mademu wananiambiaga sipo Romantic mara Niko busy ila hawaishi kunitafuta , na wakija nawacare vibaya mnoo,....ila sibembelezi sana ,ukinidengulia Huwa nakupima sikutafuti for a maximum of three months net! baada ya hapo hata uwe nani na hata ufanye nini ukinitafuta hatutarudiana....hiyo inakuwa imeenda[emoji23]
NO Mimi napenda nifanye nice kwa upande wangu kama mwanaume sitaki kuwa harsh ili ukisepa ukose Cha kuniongelea vibaya, ila ukilinga ujue Mimi sijali kabisaa, mwanamke ukimdekeza dekeza hovyo ndo utapoteza ela na mudaThen unapoteza sana pesa zako ili kuwaonyesha wanawake haujali kumbe unajali indirectly.
Kwann usitafute pisi ya kwenda usettle nayo.
Bado siwezi kukaa na mwanamke now japo nipo Kwenye very early 30'sThen unapoteza sana pesa zako ili kuwaonyesha wanawake haujali kumbe unajali indirectly.
Kwann usitafute pisi ya kwenda usettle nayo.
Kama ni hivyo, basi walikua wapo kwenye tuisheni na maandalizi ya kuingia kwenye mtihani wa ndoa..🤨Kwa wakati huo alikuwa anadengua tangu bro aache kumpa attention mzigo akawa anatoa bila hata kuomba ila now day ni wana ndoa wana mwaka mmoja wa ndoa yao
nanukuuSasa hivi wapo kwenye ndoa wana mwaka mmoja wa ndo
mwanamke bila mchamchaka haendi vizuri mwanaume ukitambua thamani yako hakuna mwanamke atakayekuendesha hii kitu niliwahi kumwambia bro wangu nimeona imemsaidia
akizoea nyuchi haoshi kabithaa inatema haswaHabari wanajf
Ukijaribu kuwasikiliza wanawake wengi unakuta wanasema wanapenda wanaume wapole na ambao hawana mambo mengi sio kwamba hawapati wanaume dizaini lahasha lakini wakiwashawapata vituko haviishi. Nina bro wangu hivi mpole, na si mtu wa mademu alipata demu mapenzi yalikuwa moto na kila nikikaa nae lazima anipe feedback ya mahusiano yake baada ya miezi miwili kupita changamoto zikaanza ni baada ya huyo manzi kupata kazi unaambiwa bro akimtumia message saa 10 jioni anajibiwa saa 7 usiku hapo akiwa tayari kashauchapa usingizi, muda mwingine hajibiwi message, akipiga simu sometime haipokelewi na hatafutwi.
Ana muda wa miezi 6 hajapewa mbususu sababu anaambiwa uchovu, stress n.k sasa baada ya kuona kuwa ni kama yeye Ndio anajipendeza sana basi akaamua asiwe anamtafuta kabisa ajikite kuwa busy na mambo yake ikapita almost mwezi mmoja Yule manzi akaanza kumpigia simu bro cos ameshakasirishwa alikuwa hazipokei Ila baada ya siku nne kupita Ndio akapokea angalia huyu demu alivyo mjinga akaanza kumpa lawama bro umeanza umalaya nini uko mbona simu zangu upokei na unitafuti bro akamkatia simu.
Siku hiyo hiyo huyo manzi akatimba mpaka ghetto la bro, bro wangu anakawaida ya kuacha sehemu ufunguo kabla hajasepa basi huyo manzi anajua na wengi wanajua Ndio demu wa bro aliingia ghetto unaambiwa ghetto lilifanyiwa usafi kitu ambacho hakuwahi kufanya hapo kabla na akapika na chakula na kuna zawadi kaleta nyingi kwa bro.
Tangu siku hiyo mapenzi yalikuwa si ya mchezo
NB: kwanini wanawake wengi wanaendekeza hizi tabia anajiboost mpaka aubostiwe tofauti na hapo wanabweteka akishajua au kuhisi una mchepuko Ndio anachangamka kwanini isiwe ni desturi yake ya kuboresha mahusiano yake bila kuchangamshwa? Mbona kuna wanaume wametulia tu hawana mambo mengi lakini still wanasumbuliwa na mahusiano na wenza wao shida ni nini?
BInti kiziwi uli mpata?Yaani Mimi mademu wananiambiaga sipo Romantic mara Niko busy ila hawaishi kunitafuta , na wakija nawacare vibaya mnoo,....ila sibembelezi sana ,ukinidengulia Huwa nakupima sikutafuti for a maximum of three months net! baada ya hapo hata uwe nani na hata ufanye nini ukinitafuta hatutarudiana....hiyo inakuwa imeenda[emoji23]