bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Ukishazoea mahusiano au kazi kifuatacho ni talaka au kufukuzwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanawake wanapenda heka heka kwenye mahusiano na hii inatupa sana shida wanaume ambao tuna haiba ya upole na tabia ya kupuuzia drama zao, wanawake wanatuchukulia kama wanaume dhaifu fulani hiviHabari wanajf
Ukijaribu kuwasikiliza wanawake wengi unakuta wanasema wanapenda wanaume wapole na ambao hawana mambo mengi sio kwamba hawapati wanaume dizaini lahasha lakini wakiwashawapata vituko haviishi. Nina bro wangu hivi mpole, na si mtu wa mademu alipata demu mapenzi yalikuwa moto na kila nikikaa nae lazima anipe feedback ya mahusiano yake baada ya miezi miwili kupita changamoto zikaanza ni baada ya huyo manzi kupata kazi unaambiwa bro akimtumia message saa 10 jioni anajibiwa saa 7 usiku hapo akiwa tayari kashauchapa usingizi, muda mwingine hajibiwi message, akipiga simu sometime haipokelewi na hatafutwi.
Ana muda wa miezi 6 hajapewa mbususu sababu anaambiwa uchovu, stress n.k sasa baada ya kuona kuwa ni kama yeye Ndio anajipendeza sana basi akaamua asiwe anamtafuta kabisa ajikite kuwa busy na mambo yake ikapita almost mwezi mmoja Yule manzi akaanza kumpigia simu bro cos ameshakasirishwa alikuwa hazipokei Ila baada ya siku nne kupita Ndio akapokea angalia huyu demu alivyo mjinga akaanza kumpa lawama bro umeanza umalaya nini uko mbona simu zangu upokei na unitafuti bro akamkatia simu.
Siku hiyo hiyo huyo manzi akatimba mpaka ghetto la bro, bro wangu anakawaida ya kuacha sehemu ufunguo kabla hajasepa basi huyo manzi anajua na wengi wanajua Ndio demu wa bro aliingia ghetto unaambiwa ghetto lilifanyiwa usafi kitu ambacho hakuwahi kufanya hapo kabla na akapika na chakula na kuna zawadi kaleta nyingi kwa bro.
Tangu siku hiyo mapenzi yalikuwa si ya mchezo
NB: kwanini wanawake wengi wanaendekeza hizi tabia anajiboost mpaka aubostiwe tofauti na hapo wanabweteka akishajua au kuhisi una mchepuko Ndio anachangamka kwanini isiwe ni desturi yake ya kuboresha mahusiano yake bila kuchangamshwa? Mbona kuna wanaume wametulia tu hawana mambo mengi lakini still wanasumbuliwa na mahusiano na wenza wao shida ni nini?
Nimekupata mwambaNO Mimi napenda nifanye nice kwa upande wangu kama mwanaume sitaki kuwa harsh ili ukisepa ukose Cha kuniongelea vibaya, ila ukilinga ujue Mimi sijali kabisaa, mwanamke ukimdekeza dekeza hovyo ndo utapoteza ela na muda
Umesomeka brother MandevuWanawake wanataka penzi la mchaka mchaka yaan unatakiwa umpe full drama,wanataka upendo wa kuutafuta