Kwanini wanawake wengi wanapendelea kunywa soda ya pepsi

Piga savanna, unakuaje?? Kwanza kama una kiu hupaswi kukata kiu yako kwa soda,kunywa maji walau nusu lita,ndo uanze kujishindilia na hiyo misoda sasa, utakuja umwa ugonjwa wa vidonda vya tumbo bure
Hahaaa. Sawa mkuu.
 
Utamu was ngoma ingia ucheze nenda hata club hapo ndipo utakapo jua msumeno wakata pande mbili
 
Thanks mama ,, unajua now days when am sitting alone or feeling lonely huwa yaaan I am jus closing my eyes and start thinking of you Basi.[emoji109] [emoji119] [emoji127]
[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…