Kwanini wanawake wengi wanapendelea kunywa soda ya pepsi

Kwanini wanawake wengi wanapendelea kunywa soda ya pepsi

Kila mtu na matakwa yake si kila mdada anapenda Pepsi...
WaPo wanapenda mountain dew n.k
 
Mi pepsi naipenda tu wala sina sababu yoyote
 
Mie tofauti sipendi soda hizo nyeusi sijui coca Pepsi napenda sprite passion na pinneple
 
Back
Top Bottom