Kwanini wanawake wengi wanapendelea kunywa soda ya pepsi

Inaongeza nguvu za kike, na gundi gundi ukeni, japo mi napendelea sparleta
Kuna mtu siku hizi nashangaa gundi gundi imezidi ngoja nianze kumchunguza nijue kinywaji anachopendelea bila shaka ni mtumiaji wa Pepsi huyu!
 
Yawezekana kabisa hebu fatilia Halafu utupe mrejesho
 
Niaje wana harakati wa Jf.

Ujue ni miezi kadhaa nimejaribu kuchunguza katika mighahawa, madukani, hotelini, majumbani, n.k
Asilimia kubwa ya wanawake wanapenda kunywa soda aina ya Pepsi nashindwa kuelewa ni kwanini japo sio wote lakini kwa asilimia kadhaa hawa Dada zetu wanapenda kinywaji hiki.

Kuna siri gani kuhusiana na kinywaji hiki.
Katika Uchunguzi wako Ulijiuliza Je, hao wanaokunywa ni Wake za Watu, Au wameolewa au Wadada tu wasiona mahusiano au Waakunywa kama option pekee iliyopo kwenye mgahawa huo au wanakunywa kwa kuwa mwenza wako amepropose wanywe pepsi.. Je uliwafuatilia hata wanapohama Migahwa wanakunywa hiyo hiyo ... Je vipi Bei nayo ulifanya ulinganifu..
 
Chipsi Pepsi!! Naona ni jina tu linawaponza kama ilivyo viazi mvuringo kuitwa chipsi
 
Niaje wana harakati wa Jf.

Ujue ni miezi kadhaa nimejaribu kuchunguza katika mighahawa, madukani, hotelini, majumbani, n.k
Asilimia kubwa ya wanawake wanapenda kunywa soda aina ya Pepsi nashindwa kuelewa ni kwanini japo sio wote lakini kwa asilimia kadhaa hawa Dada zetu wanapenda kinywaji hiki.

Kuna siri gani kuhusiana na kinywaji hiki.
Umekosea.

Pepsi huwa zinanywewa sana na Me kuliko Ke.

Pia pepsi zinapendwa sana na wanywaji bia.
 
Yaani mie Pepsi napenda kutoka rohoni.. Ndo ulevi wangu yaani!!!
Njoo uchukua my dear Friend...
tena ya kopo baridiii.kwa Uzoefu wangu wanawake wengi wanaopenda soda za PESPI TENA ZA KOPO...Ni watundu Mnoo kitandani...na "wanamadeko"wawapo 6*6 anaweza kukuambia hata mkomoe ili asiende kwa wengine...
 
Kula tano mkubwa
 
Back
Top Bottom