Kwanini wanawake wengi wanapendelea kunywa soda ya pepsi

Wanaokunywa ni walioolewa | wasioolewa kifupi ni wote wanawake ila kwa asilimia kadhaa sio wote naweza kukadiria kwa 70% asilimia, Pepsi imekuwa kiburudisho kwao je sababu ni nini.....??
 
Ni kweli lakini kiwandani pia hawapo makini hizo ni itilafu zinatokea tu,
You can't separate me away from coca cola.
 
Huku Kimara Stop Over wengi wanapenda Ngumu Kumeza, Kitu mixer Jiki, Amira, shilingi za matobo n.k

Nadhani utafiti wako ulibalance eneo moja tu kama ulivyo wangu.
Hahahaaa bar tender.

itabidi nije huko kufanya reachers......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…