Kwanini wanawake wengi wanapopiga picha wanapenda kuonyesha makalio na sio sura zao?

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
12,706
Reaction score
52,355
Wanawake wa kisasa wanapojirecodi video au kupiga picha wanapenda Sana kuonyesha makalio yao na sio kitu kingine

Mfano mwanamke umeolewa ila unajirecord unaonyesha tako lako na unasambaza video au picha kwenye mitandao ya kijamii hii ina maana gani?

 
Nowdays imekuwa Kama ka ugonjwa kwa wanawake/mabinti, sema hata hivyo wengi tunapenda kuona hizo pozi 😎
 
Jibu rahisi tu.

Wanaume tumekuwa wajinga tunawapatia attention plus hela wanawake wasiostahili kisa tu body nzuri nakuwaacha wanawake wanaojielewa na wapambanaji bila support yetu.

Binafsi siwezi mshobokea mwanamke mjinga hata kama mzuri kiasi gani. Big no.
 
Bora waanike Kilichopo ndani ya kichwa Chao ndani yake kuwa watatoa Nini kwenye mchango katika Ile couple ama familia mbali na viungo vyao like matak00 Mana hayo hata mbuzi anayo Kama zebra.

Ataweza kuwafundisha Nini watoto ana kipi kichwani imara Cha kuwafundisha ili nao wajivunie kuwa na mama Bora.

Wengine Hadi wanaringia rangi ujue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…