Kwanini wanawake wengi wanapopiga picha wanapenda kuonyesha makalio na sio sura zao?

Kwanini wanawake wengi wanapopiga picha wanapenda kuonyesha makalio na sio sura zao?

Sio kila mtu anapendelea manyama uzembe 🀣
Raha ya supu mifupa mifupa
Ndio unajifariji 😁😁😁 karoho kanakuuma lakini kukosa matako matako.. Matako yana add value πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… ukipakatwa hadi una muumiza aliekupakata
 
Sio kila mtu anapendelea manyama uzembe 🀣
Raha ya supu mifupa mifupa
Shape inayoliliwa na dunia ni ile petite, wembamba. Hata hayo mabonge furaha ni pale ukiwaona wamevaa nguo ila wakivua..utakereka kukutana na matumbo matatu yaliyogawanyika, ngozi ina mabonde bonde na mabaka mabaka kama andazi ambalo halijaumuka vizuri!! Mwanamke mwembamba ana raha yake
 
Unachanganya mabonge wanene na wenye matako mzee. Wenye matako wana kitu amazing asee achana na matipwa tipwa
 
..mwanamke umeolewa ila unajirecord unaonyesha tako lako na unasambaza video au picha kwenye mitandao ya kijamii hii ina maana gani?
Kutafuta soko😁
Biashara na matangazo ni kama uji na mgonjwa!
 
Nini shida kibungo, you know i 'm always there for you.
Nibip anytime nikupigie tuongee
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ tulia tulia
Sio shida mbaya wala kubwa
 
Back
Top Bottom