Kwanini wanawake wengi wanapopiga picha wanapenda kuonyesha makalio na sio sura zao?

Kwanini wanawake wengi wanapopiga picha wanapenda kuonyesha makalio na sio sura zao?

Picha za warembo wakionyesha backside ziongozeke jamani. National Anthem leta vitu vyako
😅😅😅 Mambo kama haya yanafanha mtu uongeze jitihada kusaka hela, sio mifupa.. Mjumbe Mzee wa kupambania.. Tia neno hapa mzigo huu kwa gheto


C.c Depal
Lenie mmeona tako ambalo tunasema sasa.. sio tujitako
 
Kwasababu wanafirikia kwa kutumia makalio. Yaani ingepatikana nafasi ya kuweka makalio kichwani halafu kichwa kije chini kitumike kama kikalio wangeshafanya hivyo.

Zero brains.
 
.
FB_IMG_1648582377479.jpg
 
KAZI KUBWA YA MATAKHO
1.KUKALIA
2.KUFICHA ILE SEHEMU YA KUTOLEA UCHAFU
HAYA MATUMIZI MENGINE YA KUPIGIA PICHA,NI MATUMIZI MABAYA TU
 
Sasa mtoa mada kwenye hizo picha wewe unaonaga tu makalio Wala sio sehemu zingine au sio?
 
Back
Top Bottom